Balali alishakufa hatukuambiwa?

Kwa vile Balali alipelekwa kwenye matibabu huko Marekani, matibabu ambayo yalisababisha alazwe kwa muda mrefu;

Kwa vile hali yake haikuwa nzuri na iliendelea kuwa mbaya hadi kumlazimisha amuombe Rais amruhusu aachie ngazi

kwa vile Rais hakukubali Balali ajiuzulu na baadaye kumtimua kazi akiwa mahututi kitandani;

Kwa vile Rais aliamua kuunda kamati maalumu ya kuchunguza wizi wa EPA na mhusika mkuu wa sakata hilo alidaiwa kuwa ni mahututi;

Kwa vile kwa muda mrefu sasa viongozi wetu wamekuwa wakituambia kuwa hawajui aliko Balali jambo ambalo limerudiwa tena hapo jana na Waziri Mkuu

Kwa vile Balali alikuwa mgonjwa mahututi, hana kazi, na serikali haijui alipo

Hivyo basi, madai ya serikali kuwa wakimtaka watampata hayana ukweli; Kuwa serikali ikimhitaji mtu wasiyejua alipo wataweza kumpata kwa haraka, kimsingi madai hayo ya serikali na kauli hizo hazina msingi wowote.

Kwa sababu,

Balali alishafariki na kuzikwa huko huko majuu baada ya hali yake kuwa mbaya. Na kwa vile serikali haijui alipo hawana njia yoyote ya kujua liliko kaburi lake na hawana ujuzi wowote kuwa ni mzima au ni marehemu.

Hivyo, basi anayesubiri kumuona Balali akirudi Tanzania mzima anasubiri mvua jangwani!!

RIP Balali!!

NB: Kama ni mzima bado, serikali imejuaje wakati hawajui aliko?

Hii ndio Tanzania chini ya serikali ya JK na CCM, Balali alikufa kabla ya tarehe 13/05/2008 halafu yeye anapeleka watu kwenda kuchukua maiti kwa pesa ya walipa kodi kwa kisingizio cha kumtafuta what a stupid idiotic move is that?

Hatuwezi kulala hapa hebu warudishe pesa ya walipa kodi.
 
Hii ni habari ambayo Daily News wanayo leo na Salva asiye Mtanzania anaendelea kutoa habari za uongo kutoka Ikulu - WHY SHOULD WE BELIEVE THIS PRESIDENT?

Adam Lusekelo
Daily News;
Wednesday,May 21, 2008

That's what State House spokesman Salva Rweyemamu told pressmen a fortnight ago. I fear that Bongo is still in the warped timeframe in our thinking. Disgraced ministers kicked out of office proceed to go and hold parties in their constituencies.

Now the government says it does not need to see former BoTgovernor Ballali’s mug behind bars. “We are not looking for Ballali, if the government wants him then it will get him because it has the long arm of the law,” Salva said. One would ask: "What is the government waiting for – Christmas?"

So the government does not want to see the man behind the loss of 133bn/- stolen from Tanzanians in the EPA scandal. He can stay in America as long as he wants and enjoy his millions and maybe his fellow culprits in town will sleep easier. Clearly, the government simply do not want Ballali in Bongo.

He could name names which will bring it down with him. For he knows who the guys at the top forced him to sign the country’s billions away. Of course it makes sense that he also lined his own pockets himself –generously. There is definitely government complicity in the game. Though he was fired from his post in January the government has decided to show him its anger.

It has punished him by letting him enjoy some of the perks of his old job. He is still occupying official residential house of the central bank governor although he is no longer an employee of the bank. The new BoT chief who replaced Ballali, Prof.Benno Ndulu, is cooling his heels in rented accommodation.

While the central bank is currently facing a shortage of houses for its senior officials, including Prof Ndulu, Ballali’s belongings are safely locked inside the executive BoT governor’s residence at Masaki area in Dar. Ballali appears to have no plans yet to return home and try to clear his badly tarnished name.

There have been widespread suggestion in public and political circles that he should be arrested to help with the ongoing high-level investigation. But State House says that Ballali can go ahead and enjoy his extended holiday. That Ballali is not regarded as a wanted man despite being implicated in the massive misappropriation of funds from the BoT.

The Ikulu spokesman has asserted that the State House was not the least interested in the current whereabouts of the former governor because he was now a “private citizen,” A super rich ‘private citizen’, if you asked me. As I said earlier Bongo is going through a very warped timeframe at the moment. Crime does pay in Tanzania!


mbwe2@yahoo.com

SASA KAMA STATE HOUSE WANATOA HABARI ZA PWAGU NA PWAGUZI KUNA SABABU GANI YA KUMUAMINI HUYU RAIS?
 
tupac_amaru_shakur.jpg
 
SOMA HII MAKALA 'Nyie tuzugeni tu, mtaona maajabu'
YA M M MWANAKIJIJI iliyowekwa hapa na Gembe ukurasa wa nne ili uweze kubaini time frame ambayo Balali alifariki na huenda amezikwa Mississipi bila yoyote kujua au kutokea kokolo yoyote.



Gonga hapa
 
Wakuu.... Kwa hizi habari za sasa hapa nyumbani ninchoweza kusema ni "JF is where kila kitu kinapotoka kwanza...... Kaaz kweli kweli"
 
balali kenda, akifanya mchezo chenge kibao kitageuka kwake!
lawyer wake angeutafuta mzimu wa balali akauuliza nini kuhusu kutaka kufichua siri za mafisadi wakuu!!
 
Yes i believe jamaa alishakufa ilikuwa inasubiriwa kutangazwa na nimesikia anazikwa MAREKANI ijumaa
 
Ukiangalia hii posti aliyotuma mwana wa kijijini ilikuwa ni tarehe 12 jumanne na tunasikia kifo kimetokea ijumaa kwa mujibu ilivyoelezwa.

basi si bure mkjj ana siri nyingi ambazo anazijua kuhusu hili na nnaamini huenda anasubiri atumwagie.

nnaanza kupata wasi wasi ni nani mkjj si bure inabidi tujiulize tena kuhusu hiki kichwa
 
ukiangalia hii posti aliyotuma mwana wa kijijini ilikuwa ni tarehe 12 jumanne na tunasikia kifo kimetokea ijumaa kwa mujibu ilivyoelezwa.

basi si bure mkjj ana siri nyingi ambazo anazijua kuhusu hili na nnaamini huenda anasubiri atumwagie.

nnaanza kupata wasi wasi ni nani mkjj si bure inabidi tujiulize tena kuhusu hiki kichwa

Nimekuwa najiuliza maswali kama haya bila majibu. Inawezekana Mwanakijiji ni Nabii! Who knows!
 
Watu wanajua mengi!
Wao ndio watakaokuwa msaada kwa Tanzania kama wakitaka!
Wasipotaka then itatuchukua wengine time zaidi lakini tutaupata ukweli by any means!
 
nyie hamnipendi au hamnitakii mema; tafadhali msianze kunifanya nionekane nahusika kwa namna yoyote ile na mambo haya; mtu yeyote angeweza kusema nilivyosema.
 
nyie hamnipendi au hamnitakii mema; tafadhali msianze kunifanya nionekane nahusika kwa namna yoyote ile na mambo haya; mtu yeyote angeweza kusema nilivyosema.

You have one of the following:
  1. Great analytical mind
  2. Sixth sense
  3. Inside information
Whichever of the above, we appreciate the tits and bits of info.
 
Back
Top Bottom