Imekukwaza kwa sababu ya ngozi nyeusi sio? Thats exactly maana ya sensa tujuje ngozi nyeusi ngapi, na wee ulo elimika pia uhesabiwe.Kweli ngozi nyeusi ni masikini kabisa kwa akili.. naheshimu michango yako hapa JF,lakini hii ni imenikwaza sana!
Wee weka mawazo yako maana hapa naona watu mnakuja kuponda tu halafu hatufahamu mnavyofahamu kuhusu sensa, nini umuhimu na sababu za kufanya sensa nchi yoyote ile duniani. Hlafu tutapima nani mwenye kueleza la maana ni ngozi nyeusi au nyeupe. Wengine tutajifunza pia lakini sii kuinga tu kwa sababu unaogopa matokeo.