Bakwata yaishtukia serikali

Point mkuu. kila kukicha matabaka yanadhihirika na hali inazidi kuwa mbaya. Tunakoelekea uongozi pia utatokana na imani zetu za kutaka kujenga uwiano na si uwezo. Hii itakwenda mpaka kwenye ajira. sidhani kama Tanzania tutavuka karne ya 21 salama.
Ni kweli kabisa usemalo. Tunakoelekea ni kubaya mno.
 
Back
Top Bottom