BAKWATA Arusha yamfanyia Dua Maalumu RC Makonda Ili aweze Kufanikiwa katika Malengo yake ya Uongozi

Mashekhe njaa wanasumbuliwa na njaa. Kanzu zinanuka ubundo wa njaa, wameamua kutafuta hela ya sabuni.
 
Ni jambo jema, kuombewa ni haki ya kila mtu utofauti ni yeye anapenda ma camera na kukaa kwenye spotlight.
 
Mama huyu mtu anayezurura huko Arusha humuoni ukatimlia mbali tu au ndio nanyie mnazipenda hizo drama. Mwezi sasa bado yupo kwenye maigizo tu. Hv mbona wakuu wa Mikoa wengine hawana huo upuuzi?
 
Mashekhe njaa wanasumbuliwa na njaa. Kanzu zinanuka ubundo wa njaa, wameamua kutafuta hela ya sabuni.
Respect viongozi wa dini ingine Mkuu hata kama huwapendi. Kila mtu akiponda viongozi wa dini isiyo yake nchi huingia kwenye machafuko.

Sheikh wa mkoa huwa hana njaa maana matajiri wote mkoani wa dini yake huwa nae karibu, misaada yote toka nje kuja mkoani inapita kwake, bakwata mkoa wako nae ili mradi njaa hawezi kuwa nayo labda waumini maskini.
 
Hivi mtu asiyeamini ktk Uislamu, unapomuombea kupitia dini asiyeamini inakuwaje?
Hii pia kwa waislamu wanaoombewa na wakisto ambao waislam pia hawamini ktk dini hiyo inakuwaje?
Maombi kukubaliwa au kukataliwa hiyo inabaki kwa yule unayemuomba !
Anaweza akayakubali maombi au akayakataa kata kata !!

Kwa mfano kama uliwatendea maovu watu kwa makusudi ni lazima uwaombe wakusamehe hao watu wenyewe uliowatendea mabaya ndio Mungu pia atakusamehe !

Vinginevyo ni Kazi bure !
 
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ili aweze kufanikiwa kwenye programu yake maalum inayoanza kesho Mei 08.2024.

Makonda atakuwa na siku tatu maalum za kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa Arusha kuanzia kesho Mei 08 hadi 10.2024 zoezi ambalo litafanyika kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa hio mjini Arusha.

Sheikh Shaaban Bin Juma amempongeza Makonda kwa maono yake ya kuja na programu ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi, akisema programu hiyo ni sehemu ya kuhakikisha Arusha inakuwa na amani, usalama na matumaini ya kutosha kwa wananchi na wageni wanaofika mkoani humo.

Bashite kapatwa na nini? Kwani Dua aliloombewa na MUFTI halina nguvu mpaka akaombewe na sheikh ambaye ni mdogo kwa MUFTI?
 
Back
Top Bottom