Bakhresa, ex wife settle dispute

My dear Trust me,mtu yyte mfanya biashara hata akipoteza shilling 50,lazima imuume tu,in one way or the aza,itakuwa imemuumiza tu lazima,and its not about money its about the yrs they have been 2geza,miaka hiyo si midogo eti,mke/mume ambae asb ndo wa kwanza kukuona ukiamka na usiku wa mwisho kukuona ukiingia kulala + the good memories + the bad!binadam tumeumbwa na roho hatukuumbwa na pesa lazima uumie tu,hata Yesu alisema mwili ni dhaifu!,hakuna aseumizwa na mapenzi jamani hata uwe na pesa kiasi gani.

Naelewa Pearl na nakubaliana na wewe, najua kweli lazima imemuuma mana mpaka wakapelekana kwa lawyers ina mana issue ilikua kubwa na kuwa solved kinyumbani ilishindikana. Nasema Nip in the bud tokana na ukweli kwamba do you really believe vilivyotajwa hapo juu ndo vitu pekee barkresa ana own? Jamaa production yake inampelekea kua na gross turnover ya hapa inchini zaidi ya asilimia 30, hivyo vitu vilo tajwa hapo juu si vyote....
 
si vyote na pia anawake wangapi?na mali zote hizo ni zake?yy kama yy?wat ur sayng is vere vere true dear.

The Finest, hello,
I would like to grasp the notion of your post right; was this matrimonial dispute settled under Tz or Kenyan laws? In case of Kenya, did she go to Kadhi court (nasikia mahakama za kadhi ziko huko) or civil ones.
According to the news the matrimonial disputed was settled under Kenyan laws in Mombasa, and i didn't hear them mentioning about Kadhi Court it was settled kwenye civil ones
 
si vyote na pia anawake wangapi?na mali zote hizo ni zake?yy kama yy?wat ur sayng is vere vere true dear.

Pearl hebu jilengeshe basi......unakaa nae mwaka.....basi umasikini kwishnei.....then na mi ntajilengesha kwako, ili uniambukize faranga kidogo...
 
si vyote na pia anawake wangapi?na mali zote hizo ni zake?yy kama yy?wat ur sayng is vere vere true dear.

Ni kweli akigawa kwa mtindo huo kila mtoto na kila mke, atafilisika.... Wanume hawaelewi kabisa - B yeye ni mtu mzima kaoa binti four years ago (ina maana she is young) angekua ni mke mkubwa kampa hivyo vitu isingekua shida cause at the end of the day mtoto ndo anapata. But kwa hiyo kimwana kaenda kutumia na vijana wenzake.
 
Pearl hebu jilengeshe basi......unakaa nae mwaka.....basi umasikini kwishnei.....then na mi ntajilengesha kwako, ili uniambukize faranga kidogo...
Hahaha RR banaa lol
 
ah ah ah alafu ndo nilikuwa nakunaniliu ile naliliu ya naniliu,umenaniliu?
Pearl hebu jilengeshe basi......unakaa nae mwaka.....basi umasikini kwishnei.....then na mi ntajilengesha kwako, ili uniambukize faranga kidogo...
 
Si unajua ishu hizi huwa zinakuwa kimya kimya ila matokeo ndio mnakuja kuyasikia kwenye vyombo vya habari

Pamoja na kusema game yake iko juu, itabidi nimpe gentle push ai upgrade tena kidogo... Kwani hao Balala walipata vipi taarifa? I bliv ni connections na kua mzuri ktk game...
 
Hivi huyu tajiri number moja Tanzania ni mkristu au ni Mhindu?

Haiwezekani mfumo Jesus ulimuacha akawa tairi number moja

:blabla:
 
Pamoja na kusema game yake iko juu, itabidi nimpe gentle push ai upgrade tena kidogo... Kwani hao Balala walipata vipi taarifa? I bliv ni connections na kua mzuri ktk game...
Hii kesi iliungurumua huko Kenya ndio maana imekuwa rahisi kwa hao lawyers wa huko kukamata deal fasta
 
Back
Top Bottom