Bajeti mbadala ya ofisi ya raisi menejimenti ya utumishi wa umma ya kambi ya upinzani

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
ingawa suala la mishahara halikutajwa na Hawa Ghasia, kambi ya upinzani inasisitiza kima cha chni kiwe 315,000/-
 
ingawa suala la mishahara halikutajwa na Hawa Ghasia, kambi ya upinzani inasisitiza kima cha chni kiwe 315,000/-

Hiyo inawezekana lakini iendani na azimio kuwa entry qualification to any employment is University Degree. Ni waajiri gani watakuwa tayari kuajiri wahitimu wa vyuo vikuu pekee?
 
Je hawajema juu ya kupandisha mshahara viendavyo sambamba na ongezeko la kodi kwa mtumishi suala liko hapo think more
 
Back
Top Bottom