Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wachumi na wajuziwahii sekta naombwa kujuzwa kwa lugha nyepesi maana ya hili neno bailout
Ireland nchi bayo ukisoma ni moja kati ya nchi zilizokuwa na uchumi mzuri zaidi ulaya kuliko hata England imekuwa bailedout.
NB:
Nimejaribu ku google na kuwikipedia tayari lakini sijaelewa hizi lugha za kichumi
Nawasilisha
Ireland nchi bayo ukisoma ni moja kati ya nchi zilizokuwa na uchumi mzuri zaidi ulaya kuliko hata England imekuwa bailedout.
- Nini kimesababisha nchi hii kufikia katika hali hiyo?
- Kwa nini tatizo hilo limetokea Ireland na sio Norway au Belgium?
- Kwa nini Tanzania tusiombe kuwa bailed out?
NB:
Nimejaribu ku google na kuwikipedia tayari lakini sijaelewa hizi lugha za kichumi
Nawasilisha