Bahasha Nyembamba ya Mchango wa Askari aliyeuliwa Znz..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) akikabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,nyumbani kwa wafiwa wa Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma Hassan wa Jeshi la Polisi, Nyerere Mjini Zanzibar leo ,kwa niaba ya wanafamilia wa marehemu Baba Mdogo Juma Omar Salum,(wa pili kushoto),akipokea ubani, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Said Ali Mwema,(wa pili kulia) na Baba Mzani wa Marehemu,Abdulrahman Juma Hassan,(kushoto).

Swali: Hii bahasha kwa kukisia tu itakuwa na alfu 50 au haitazidi laki, tofauti na Bahasha anazotoa Lowasa

koplo.JPG
 
Kama ni shs za kitanzania kwa note mpya za elfu kumi hapo milion moja inafika, kama ni US Dollars basi ni neema zaidi. Lakini kama vile kuna bahasha nyingine hapo chini ameshapokea, hiyo anayopokea ni ya pili.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom