Bado nalia na Dr. Hussein Mwinyi

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja na mawaziri wala rushwa kubanwa, huyu nae ajumuishwe.

Vyombo vya habari rudieni tena kile kipande cha habari kwa sababu mnacho kwenye maktaba zenu. Hii itasaidia kukuza moyo wa kuwajibika. Kuna mwingine kule Znz nae alisema angejiuzulu baada ya meli kuzama, lakini haya ya upande wa pili si muhimu sana. Bado nalia na Hussein Mwinyi.........
 
H. mwinyi ni muuaji asiyejali baada ya mbagala alitakiwa aongoze hatua mbalimbali
za tahadhari na kuwajibisha waliozembea, badala yake akaona raha kuuza sura eti ikitokea tena anajiuzulu! Hata kama asingetoa ahadi hiyo anatakiwa kuwajibika, lkn kwa hili genge la kubebana...
 
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja na mawaziri wala rushwa kubanwa, huyu nae ajumuishwe.

Vyombo vya habari rudieni tena kile kipande cha habari kwa sababu mnacho kwenye maktaba zenu. Hii itasaidia kukuza moyo wa kuwajibika. Kuna mwingine kule Znz nae alisema angejiuzulu baada ya meli kuzama, lakini haya ya upande wa pili si muhimu sana. Bado nalia na Hussein Mwinyi.........
Na mwingine ni yule wa CUF Zanzibar na ile meli mbovu iliyoua watu zaidi ya elfu mbili. Nae kakaa kimyaa na watu wameshasahau.
 
Kwangu mimi kutokuwa na maneno mengi na utulivu wake ndo kinachonifanya nisimbwatukie.
 
Babake ndo alimpa shavu Lodovic utouh pale NBAA miaka ile akampa tena shavu kitombi wa kikwer.e toka masasi,mwacheni ale penshen ya mdingi we huoni makongoro Nyerere anakumbuka kondom baada ya gem!
 
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja na mawaziri wala rushwa kubanwa, huyu nae ajumuishwe.

Vyombo vya habari rudieni tena kile kipande cha habari kwa sababu mnacho kwenye maktaba zenu. Hii itasaidia kukuza moyo wa kuwajibika. Kuna mwingine kule Znz nae alisema angejiuzulu baada ya meli kuzama, lakini haya ya upande wa pili si muhimu sana. Bado nalia na Hussein Mwinyi.........
unamfaham mpaka uyo unaemwita waziri katokea jimbo gani?
 
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja na mawaziri wala rushwa kubanwa, huyu nae ajumuishwe.

Vyombo vya habari rudieni tena kile kipande cha habari kwa sababu mnacho kwenye maktaba zenu. Hii itasaidia kukuza moyo wa kuwajibika. Kuna mwingine kule Znz nae alisema angejiuzulu baada ya meli kuzama, lakini haya ya upande wa pili si muhimu sana. Bado nalia na Hussein Mwinyi.........

Hussein Ali Hassan Mwinyi (waziri wa Ulinzi kama sikosei ) hilo ndio jina kamili
Baba mtu
Ali Hassaein Mwinyi (Rais mstafu aliyewafunguwa macho waTanganyika kimaisha )walifika kumbatiza jina mzee rukra ni mwega muhimu ndani ya CCM bila yayeye itaporomoka chini, ni mzee mwenye kutowa amri na kutekelewa hakuna wakumpinga sasa ukijumuisha utaelewa nani Husein mwinyi.
 
Hawa watu Dhamira zao zimekufa kabisa! Haiwezekani maangamizi ya mali, na kufa walipa kodi! wewe ukiwa unalipwa kwa ajili ya usimamizi wa wizara hiyo nyeti umekuwa unanyuti kama kilicho fanyika huhusiki! Ondoka ondoka ondoka kaka kabla ya Nguvu ya Uma haijakushughulikia!
 
Back
Top Bottom