bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,642
- Thread starter
- #141
Nashukuru mkuu,ni kweli aisee uzembe niliufanya mwenyewe na sasa unanigharimu.Pia ni kweli nimekuwa so open kwa hawa madogo ss nadhani ushauri wako nimeupokea wa kufanya mambo yangu kimya kimya.Asante sana mkuuMkuu huyo ulichelewa kidogo kumfunza adabu. Samaki Mkunje angali yu mbichi. Huyo hata umpige haitasaidia zaidi ya kuongeza uadui.
Ushauri: Usimshirikishe katika ishu zako. Pia muulize mhusika anataka kusomea nini au kuwa nani
Sent using Jamii Forums mobile app