Baby Madaha: sijafiwa na mama mzazi

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Siku chache baada ya kuenea taarifa kuwa Baby Madaha kuwa ameondokewa na mama mzazi, staa huyo amefunguka na kuweka mambo sawa kuwa aliyekufa sio mama yake mzazi kama walivyockia bali ni mama mdogo aitwaye Maimuna alisema baby madaha'mama yangu ni mzima wa afya na wala hana tatzo lolote la kiafya, hivyo watu wasielewe tofauti na kuwa mama angu mdogo alikuwa anaugua kwa muda mrefu sana mpaka pale alipokutwa na mauti octb 9 mwaka huu na kusafirishwa hadi musoma kwa mazishi'.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ana nyimbo yake mpya nmeiona kwa Nick sina uhakika kama kashaipeleka tv..mambo ya promo aya kila mtu anarudi kivyake.
 
Back
Top Bottom