Babu kaniambia ili tushinde Leo huko Burundi Kikosi cha Kuanza Taifa Stars kiwe hivi.....

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Juma Kaseja / Beno Kakolanya
2. Shomary Kapombe / Hassan Ramadhan Kessy
3. Mohamed Hussein Tshabalala
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude / Mohamed Issa Banka
7. Simon Msuva / Salim Ayei
8. Abubakari Salum / Frank Domayo
9. Abdillahi Yusuph / Idi Nado
10. Mbwana Samatta
11. Ally Ng'anzi / Hassan Dilunga

Kuna Ushindi wa Goli 2 kwa 1 au 1 kwa O katika Kipindi cha Kwanza hivyo tunatakiwa tuwawahi kwani ndiyo Nyota yetu ya Ushindi inavyosema kwa Mchezo wa leo, ila kama hatutashinda ndani ya dakika 45 za Kwanza kwa aina ya Uchawi wa Kufuru ambao Waburundi nao wameufanya ( kwani nao hawatanii na wamejipanga vilivyo ) basi kuna uwezekano wa Taifa Stars ikafungwa Goli / Bao 1 tu.

Hiki Kikosi nilichokitaja hapo naomba Kizingatiwe tafadhali na Watu wa Benchi la Ufundi wapewe haraka asubuhi hii hii na wakifanya tu Mabadiliko basi yawe ni hayo tu ambayo nimeyaweka hapo juu na siyo mengineyo. Huyu ' Babu ' huwa hakosei na hajawahi Kuniangusha hivyo TFF msipuuze bali mlizingatie na muwe makini.

Kila la Kheri.
 
Upumbavu huu ndio unachezea akili za makocha wetu, PUMBAVU kabisaaaa. Waacheni wafanye kazi zao ramuli mpigie mama yako

John boko yuko wapi?
 
kiukweli naombea tupigwe

somo la uzalendo wa kinafiq nilipata 0
 
Upumbavu huu ndio unachezea akili za makocha wetu, PUMBAVU kabisaaaa. Waacheni wafanye kazi zao ramuli mpigie mama yako
Unamchokoza mwenyewe au unataka apigwe ban huyu pacha wake@Gentamycin? maana anafukia mashimo ya pacha mwenzio kwa mada zake changamshi
 
Hata mech ya simba na wamakonde ulikuja na ngojera hizi hizi , mwisho simba wakatolewa

Mpira ni mchezo wa wazi, kama huna maandalizi utapigwa tu
 
Back
Top Bottom