Nilibahatika kupita na kukaa kama siku nne Babati na kisha kupata chakula na kinywaji kwenye migahawa na Bar za Babati. Kilichonishangaza ni jinsi waendesha pikipiki wanavyosababisha makusudi pikipiki zao kupiga kelele hususani wanapofika kwenye maeneo ambayo yana watu wao hapo ndo huonyesha jinsi walivyoziwezesha pikipiki zao kupiga kelele. Viongozi hili jambo sijui hawalioni hata tu kusikia.