Baba yuko uchi, ni nani atakayewazuia watoto wasitembee uchi?

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Kila kona baba (serikali) anatuhumiwa kwa rushwa iwe ni kwa ukweli au kwa kusingiziwa, utasikia oh mtoto wa rais kahujumu, chenge ana vijisenti, meremeta, Jairo,UDA, AGRECO, EPA, Deep green, ATCL, na akina Jeneral shimbo na trilion zao, kama serikali iko uchi kiwango hiki ni nani atakayezuia polisi, wauguzi, katibu kata, mwenyekiti wa nyumba kumi, baba mwenye nyumba n.k wasitembee uchi? (wasifanye ufisadi kwenye maeneo yao?)

Inauma sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom