Baba na mama yangu ni members wenzetu wa JF

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Nadhani katika ukoo ambao una members wengi wa jamiiforum Basi ni ukoo wangu mimi.

Ipo hivi Kuna siku nimerudi kutoka chuo ilikuwa weekend nikafika nyumbani baba akanipa simu nikamtolee hela tigo pesa kwa wakala nikaona Ana application ya JF Nikachungululia jina lake nikakuta Ni ID fulani japokuwa sio maarufu sana.bahati nzuri anashusha Sana nondo humu ndani jukwaa lake Ni siasa na lile la sport na ule Uzi wa vyakula anaupenda Sana na ule Uzi wa wazee wa kutupia mikeka anabet kumbe.hajui Kama Mimi ndege JOHN Ni mwanae.ningestaajabu Sana Kama ningekuta baba yangu ndo Zero IQ au ningekuta Ni Viatu vya Samaki.bahati nzuri Ni ID Yenye heshima Sana humu ndani.

Kuna siku nyingine tena mama yangu akaniomba nimdownloadie UBER si ndo na yeye nikashangaa kukuta Ana JF kwenye simu yake nikaingia fasta nikakuta Ni fulani.nikabaki nacheka.yeye ID yake anapenda lile jukwaa la warembo na jukwaa la education.

Sikutaka kuchungulia PM zao.nisije kupofuka macho bure.kuna siku baba yangu alichangia kwenye Uzi wangu fulani hivi aliongea pumba fulani.na sio wazazi wangu pia shangazi yangu na yeye Ni member wa JF yeye jukwaa la picha humkosi.

Mwingine Ni mama yangu mdogo yeye Hana ID naonaga Ana Soma tu Kama guest.wote Hawa hawanijui Mimi Ni nani na Mimi nimejikausha tu najifanya siijui JF Nikiwa nao.
 
Nadhani katika ukoo ambao una members wengi wa jamiiforum Basi ni ukoo wangu mimi.ipo hivi Kuna siku baba amenipa simu nikamtolee hela tigo pesa kwa wakala nikaona Ana application ya JF Nikachungululia jina lake nikakuta Ni ID fulani japokuwa sio maarufu sana.bahati nzuri anashusha Sana nondo humu ndani jukwaa lake Ni siasa na lile la sport na ule Uzi wa vyakula anaupenda Sana na ule Uzi wa wazee wa kutupia mikeka anabet kumbe.hajui Kama Mimi ndege JOHN Ni mwanae.ningestaajabu Sana Kama ningekuta baba yangu ndo zero IQ au ningekuta Ni viatu vya samaki.bahati nzuri Ni ID Yenye heshima Sana humu ndani.
Kuna siku nyingine tena mama yangu akaniomba nimdownloadie UBER si ndo na yeye nikashangaa kukuta Ana JF kwenye simu yake nikaingia fasta nikakuta Ni fulani.nikabaki nacheka.yeye ID yake anapenda lile jukwaa la warembo na jukwaa la education.
Sikutaka kuchungulia PM zao.nisije kupofuka macho bure.kuna siku baba yangu alichangia kwenye Uzi wangu fulani hivi aliongea pumba fulani.na sio wazazi wangu pia shangazi yangu na yeye Ni member wa JF yeye jukwaa la picha humkosi.mwingine Ni mama yangu mdogo yeye Hana ID naonaga Ana Soma tu Kama guest.wote Hawa hawanijui Mimi Ni nani na Mimi nimejikausha tu najifanya siijui JF Nikiwa nao.
Mkuu umenichekesha kweli aisee.
Hapo uliposema eti ningekuta babangu ndio Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani katika ukoo ambao una members wengi wa jamiiforum Basi ni ukoo wangu mimi.ipo hivi Kuna siku nimerudi kutoka chuo ilikuwa weekend nikafika nyumbani baba akanipa simu nikamtolee hela tigo pesa kwa wakala nikaona Ana application ya JF Nikachungululia jina lake nikakuta Ni ID fulani japokuwa sio maarufu sana.bahati nzuri anashusha Sana nondo humu ndani jukwaa lake Ni siasa na lile la sport na ule Uzi wa vyakula anaupenda Sana na ule Uzi wa wazee wa kutupia mikeka anabet kumbe.hajui Kama Mimi ndege JOHN Ni mwanae.ningestaajabu Sana Kama ningekuta baba yangu ndo zero IQ au ningekuta Ni viatu vya samaki.bahati nzuri Ni ID Yenye heshima Sana humu ndani.
Kuna siku nyingine tena mama yangu akaniomba nimdownloadie UBER si ndo na yeye nikashangaa kukuta Ana JF kwenye simu yake nikaingia fasta nikakuta Ni fulani.nikabaki nacheka.yeye ID yake anapenda lile jukwaa la warembo na jukwaa la education.
Sikutaka kuchungulia PM zao.nisije kupofuka macho bure.kuna siku baba yangu alichangia kwenye Uzi wangu fulani hivi aliongea pumba fulani.na sio wazazi wangu pia shangazi yangu na yeye Ni member wa JF yeye jukwaa la picha humkosi.mwingine Ni mama yangu mdogo yeye Hana ID naonaga Ana Soma tu Kama guest.wote Hawa hawanijui Mimi Ni nani na Mimi nimejikausha tu najifanya siijui JF Nikiwa nao.
ahahaaaa ulishukuru pale ulioona mzee wako sio ziro iq nimecheka sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom