Baba anapokataliwa!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Mimi nimefuatilia kwa makini hata kwenye kilabu za mbege! Ni ukweli usiopingika kuwa baba huyu kakataliwa na watoto. Watanzania wazi wazi sasa hawamtaki JK wala serikali yake. Kama kuna wale wanaomuunga mkono basi ni wachache sana. Ikifika mahali kati ya waongeaji 50 hakuna hata mmoja anayetaja zuri la serikali basi ujue kuwa hutakiwi! Kila mtu anasema tutaingia barabarani kuna jambo. Miaka ile tuliwadanganya watoto wetu kuwa mama kaenda kununua mtoto ama kadondoshwa na ndege umepitwa na wakati. Watoto wanajua kuwa mama hubeba mimba na mwisho huzaa!
Kwaheri CCM, kwaheri JK.
 
Back
Top Bottom