Baadhi ya Matusi ambayo CCM wanayaporomosha bila ya aibu haya hapa...

Sishtuki kwangu mimi CCM kama chama ni tusi, kwa mfano ukitaka kunitukana siyo lazima utafute tusi la nguoni waweza tu kuniita mimi ni mwana CCM, hilo ni tusi tosha kwangu.
 
Lingine niliyasikia kwenye uwanja wa patandi " mnasema sioi hajui kutongoza je ninyie mlimtongozea mke wake , nakama Joshua anawezakuongea mbona kashindwa kutongoza?"
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe Watanzania waone CCM hatua waliofikia sasa...
Nawasilisha...
 
Ukiona mtu anatukana kwenye mpambano wa hoja huyo kufikiria kumegoma, anakuwa irrational kama mnyama mwingine yeyote
 
Bahati mbaya/Nzuri sijui nani anatukana nani hatukani, nani bingwa nani tobwe wa matusi, zaidi ya haya yanayolengwa hapa. Lakini lisemwalo lipo, lipo. Na kama lipo kwa nini mkuu wa Tume wa Uchaguzi halioni hili? Au tunasubiri mpaka uchaguzi umalize ndio tufungue kesi za kushitakiana kutukanana? Tusi ni tusi tu, liwe la nguoni liwe la kichwani, liwe linatoka CCM liwe linatoka CDM. Tunatoa mfano gani kwa watoto wetu? Si tunalifanya taifa hili liwe la kutukanana tu?

Wananchi tuwape wanachohitaji sio wanachotaka. Wanaweza kutaka (na wanataka) kusikia watu wananyambuana vya nguoni, lakini hayo siyo wanayohotaji. Wanahitaji manendeleo, wanahitaji sera kupitia ahadi zinazotekelezeka na sio kutoa tu orodha ya ahadi 100 wakati mkijua hata moja haitekelezeki.

Tubadilike Watanzania, kwa niaba ya nchi hii, kwa niaba ya kizazi hiki na kijacho. Tubadilike. INATOSHA!
 
Lema alikuwa anaku'gutwa kwa nyuma akiwa gerezani ndio maana alikuwa hataki kutoka - lusinde

Kwangu inawa ngumu hata kukubali hayo matusi, labda ni kweli. Kama ni kweli ilitakiwa Polisi wawashushe kwa nguvu n virungu na kuwasweka ndani pale Usa.
 
Doh! Wapi maadili yako wapi? Lusinde ana watoto? Na watoto nao watasema wana baba tena mbunge?
 
Back
Top Bottom