Baada ya Uhuru kumtembelea Magufuli Chato, sasa gesi ya Tanzania itaelekezwa kuja Kenya

Tatizo la wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria au ni nini?, hii taarifa inasema lengo kubwa la safari ya Uhuru lilikua ni kuja kuomba msamaha kutokatana na matamshi ya Jaguar, hili la gesi limekuja kama sehemu ya mazungumzo, kwasababu hili jambo sio jipya mazungumzo yalishaanza miaka kumi nyuma, tatizo lililobaki ambalo linachelewesha kuanza ni hayo mambo ya pricing, infrastructure and funding.
Huwa ninawashangaa sana wakenya wanapozungumzia eti gesi ya Tanzania kuliwa na mabeberu, huu ni kutokana na uelewa mdogo mlionao, hadi sasa hakuna hata Lita moja ya gesi iliyokwisha vuka mipaka ya Tanzania, gesi yote inayozalishwa hutumika Tanzania katika;
1) Kuzalisha UMEME
2)Viwandani, zaidi ya viwanda vikubwa 100 , hutumia gas badala ya UMEME
3) Majumbani. Kuna mradi mkubwa wa kuunganisha bomba za gas katika mikoa ya DSM na Mtwara kwa matumizi ya kupikia na kupasha moto NYUMBA kipindi cha baridi.
4)Magari. Zaidi ya Magari 400 yameshaanza kutumia gas, na zoezi la kuyafungia mitambo ya gas linaendelea.
Onyesheni ni wapi na kivipi mabeberu wanaifaidi au kuichukua gas ya Tanzania?, punguzeni wivu Tanzania ni taifa kubwa hamuwezi shindana nalo.
wewe ndo unaakili fupi. yani halima mdee aseme wakenya wafukuzwe jiwe aende akaombe msamaa? jaquar ni waziri mkuu?? usichukulie taasisi ya uraisi kama balozi wa mtaa. huo msamaa angekuja kuomba wazir wa mambo ya nje. na museven alikuja kuomba msamaa kwa kutupa ushindi wa mezani wa afcon?
hiyoo gas tulipigwa changa la macho kama tutakavyopigwa kwenywe stiglers gorge. Uhuru mtoto wa mjini kaona gas ya bwereree ataanza kuichota soon.
jiwe anaendeshwa na mihemko anaona uhuru kwenda chato ni big deal kulipo deal yenyewe.

uhuru bhana yani gas atachota na Tausi kabeba.
 
Tangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.
Ukija tz nitakupokea sisi ni ndugu utakaa kwangu
 
"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
Hata waarabu na wageni wengine walipigwa na kuuwawa pale johannesburgh kabla ya hili kuuwawa watz
 
wewe ndo unaakili fupi. yani halima mdee aseme wakenya wafukuzwe jiwe aende akaombe msamaa? jaquar ni waziri mkuu?? usichukulie taasisi ya uraisi kama balozi wa mtaa. huo msamaa angekuja kuomba wazir wa mambo ya nje. na museven alikuja kuomba msamaa kwa kutupa ushindi wa mezani wa afcon?
hiyoo gas tulipigwa changa la macho kama tutakavyopigwa kwenywe stiglers gorge. Uhuru mtoto wa mjini kaona gas ya bwereree ataanza kuichota soon.
jiwe anaendeshwa na mihemko anaona uhuru kwenda chato ni big deal kulipo deal yenyewe.

uhuru bhana yani gas atachota na Tausi kabeba.
Bado hujaongea.
Maana huna proof ya ulioongea kuwa eti gas itaenda pasi na faida.
Wee ndio unaongea kwa mihemko.
Kumbuka Alichoongea jaguar ni kitendo cha uvunjifu mkubwa wa jumuiya na amani.
Kwahvyo hili sio tatzo dogo.
Na ilifaa zaidi Rais ndio aende kuomba radhi,maana ile kitu ingetokea aloiropoka jaguar it could cost community of East Africa.
Tausi hawahusiani na uchumi wa tz.
Na usifikiri magu mjinga wa kusaini mikataba ya kipuuzi.
Kwahyo usikurupuke kusema gas itaenda bure ilhali bado hata contract haijaanza.
Halafu stiglers iko on process,waweza nambie tumepigwajwe?!
Hata kama mnaichukia ccm ila kuna sehem muwe wakweli kuwa JPM kafanya kitu cha maana.
Sio kukosoa kwa mihemko kama mnavyofanya.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hakuna rais alokuwa na mema yote au mabaya yote lakin kwa huyu jamaa kaleta kitu tofauti Tz.
Yani kagusa miradi karibuni yote ya maendeleo hapa tz.
Na katuokoa na baadhi ya hasara.
Maana km angekuwa kikwete mchumba wao mchina nahisi ile ambakati ya bandari ya bagamoyo ingetuhusu
 
Si tutabaki kusema kaja kuomba mamaa wakati mzigo unaenda kenya na wenzetu wanazidi kupaa
Screenshot_2019-07-16-15-51-26.jpg
 
Tulibishana humu tukiwaambia rais wetu hana mazoea ya kusafiri bila mahesabu yanayoihusu nchi ya kenya, kila aendako, huibuka na bonge la dili. Taarifa zimetolewa kwamba gesi ya Tanzania ambayo hadi leo huwa tunaskia inaliwa na mabeberu, sasa itaelekezwa kuja hapa Kenya tuwe tunailipia ili kunufaisha viwanda vyetu.
Kile kinajadiliwa sasa ni jinsi gani ya kufanikisha mkondo wa gesi kuja.
------------------------------

Uhuru Kenyatta in Tanzania

Kenyan President Uhuru Kenyatta (left) is welcomed by his Tanzanian counterpart John Pombe Magufuli at Chato Airport on July 4, 2019. President Kenyatta expects to see warmer diplomatic relations with Dar es Salaam amid raging trade disputes. PHOTO | PSCU

Tanzania and Kenya have agreed in principle to start trading in natural gas, with officials hopeful that the deal will help end the persistent trade spats between the two countries.
The gas deal formed part of the discussions between Tanzanian President John Magufuli and Kenya’s Uhuru Kenyatta during his recent two-day visit to the country.
The announcement by State House Nairobi came even as the two neighbouring countries remained locked in disputes that have seen a significant drop in trade volumes.
The deal for Tanzania to sell liquefied natural gas (LNG), which has been on the cards for more than a decade, is expected to power one of President Kenyatta’s pet legacy projects — manufacturing —
at a time when the country is facing at the potential loss of a significant energy project, the Lamu coal plant.
The project has run into trouble after a Nairobi court ruled that the environment watchdog Nema irregularly issued its licence.
An even cheaper and bigger nuclear power plant has been shrouded in uncertainty over security, environmental and implementation concerns.

Big 4 Agenda
The Tanzania LNG deal would therefore come in handy as time runs out for President Kenyatta to cement his legacy by implementing the Big 4 Agenda, which comprises manufacturing, affordable housing, universal healthcare and food security.
A technical team from both countries is working out the details for implementing the deal.
Andrew Kamau, Principal Secretary in Kenya’s State Department of Petroleum said that work has started.
“We need gas to generate power and drive our manufacturing sector,” he said. “The technical officers from the two countries will start meeting this month to look at the finer details of this agreement.”
Those details include pricing, volumes of gas, policy framework and the infrastructure, including a pipeline.
Infrastructure investments
Whereas crude oil is relatively easy to transport, gas requires huge infrastructure investments. It therefore remains to be seen how Tanzania will move to facilitate its exports, especially with regards to infrastructure funding.
But President Magufuli is upbeat. He said he was considering his neighbours before exporting to countries farther afield.
"We have natural gas — a lot of it. Instead of Kenya importing gas from outside East Africa, they should buy from here,” said President Magufuli.
President Kenyatta, who went to Tanzania with a conciliatory message after a Kenyan MP was accused of making xenophobic utterances against Tanzanian traders in his constituency in Nairobi, expects to see warmer diplomatic relations with Dar es Salaam amid raging trade disputes over rules of origin, non-tariff barriers and quality of products. These have also affected regional integration, sowing mistrust between partners.
Already, there is a planned meeting of officials from both countries to discuss these issues in the coming weeks.

The gas deal is not new, though. It has been in the works for more than a decade.
Gas pipeline
In 2006, the EAC identified the need to extend a gas pipeline from Dar es Salaam to Tanga, Zanzibar and Mombasa.
Tanzania’s Songas is the largest gas-fired power station in East Africa with an installed capacity of 190MW, using gas from the offshore Songo Songo reserves.
A feasibility study was commissioned in 2009 and completed two years later, recommending either the establishment of a special purpose vehicle jointly owned by Kenya and Tanzania but operating on a commercial basis, or a public-private partnership in which the two governments would offer a concession on a design, build, finance, and operate basis, to a private company. This is expected to form the basis of the discussions in the coming weeks.
Tanzania has 57.25 trillion cubic feet of natural gas reserves, with nearly all of the resource produced used to generate electricity.
The country plans to start selling the gas to international markets and Kenya stands to be one of the first beneficiaries.
According to a study by Phoenix Research Publishers released last year, natural gas contributed about 625.5MW of the total power installed capacity (1,450MW) in Tanzania in 2017.
Tanzania’s electricity sector started using natural gas in July 2004. The country saved more than $4.4 billion in using the natural gas to March 2016, according to Phoenix researchers.
Going 'green'
Kenya’s importation of natural gas would boost the country’s efforts to go “green” by investing in the generation and transmission of cheaper and reliable renewable energy sources by 2020.
Currently, 70 per cent of Kenya’s installed electricity capacity comes from renewable sources, with more than 40 per cent of the generation output being geothermal.
Last year, President Kenyatta promised to shift the country to 100 per cent green energy by 2020 by scaling up investment in renewable sources.
But with the planned regional power exchange programme, the Eastern Africa Power Pool delayed by construction of transmission lines and the court stopping the implementation of a 1,050MW coal-fired power project in Lamu, the natural gas deal appears a silver bullet to Kenya’s industrialisation drive.
But the delayed negotiations between the government of Tanzania and multinationals —Equinor, Royal Dutch Shell Plc and Ophir Energy Plc, own gas blocks has caused some players to scale down activities in the country and start eyeing operations in other countries.
The earliest the gas may be available is 2022.

kiukweli ktk huu mtego mkiingia mkija kukutana na raisi MKOROFI ipo siku mtakuja kutupigia magoti dsm ....MNAKUMBUKA Russia huwa anawafungia GESI nchi za ULAYA kikichafuka zaidi Bac hivyo hivyo ...alafu muache kujitamba eti nyie ni developed country....wakati mnamatatizo ya energy ....kwa hilo tutawapatia maana hapa TZ tuna tegemea kuzalisha zaidi ya 2000MW
 
Wazee wa kupigiwa magoti, kiburi cha umaskini, ndio maana mnaliwa sana raslimali nyingi lakini haziwafaidi chohote nchi yote bado maskini wa kutupwa. Maana muwekeza sana kwenye ujinga wa kuwaza mambo ya undugu na kiburi badala ya kuweka maslahi ya taifa mbele.
Ndio tutawapigia magoti ilmradi tukwapue kwenye hilo shamba la bibi.....
 
SIO KWA AWAMU HII YA JPM mtaisoma namba TASA na WITIRI ivi mlivyopewa TAUSI mkajua msha muwin Subiria utajionea kivumbi kama GESI itafika 254 ikifika huko ni sawa na bei mliyokuwa mnanunulia Qatar
 
Mahindi ya Tz,
Mboga na vitunguu Tz,
Gesi ya kupikia Ugali na mboga Tz,
Na ukimaliza unywe Juisi ya machungwa ama Maembe ya Tz.
Mnacheka cheka tu na mzee wa chato mnafikiria eti yeye ni mlevi kama jitu hilo lenu. Mnaingia mkenge
Stupid tanzanian, unjisifia kuuza raw materials , na wenzio wanakazana kununua mahindi na nyie mnunue unga, you people are just stupid mlisoma wapi leo trade ya kenya to tanzania imeongezeka by 28% , kesho kenyatta atakuja tanzania na mtampa badari ya tanga, stupid tanzanians ni kama wewe
 
SIO KWA AWAMU HII YA JPM mtaisoma namba TASA na WITIRI ivi mlivyopewa TAUSI mkajua msha muwin Subiria utajionea kivumbi kama GESI itafika 254 ikifika huko ni sawa na bei mliyokuwa mnanunulia Qatar
Gesi itafika tu maana hamtaila kama chakula, hivyo lazima ije kwenye nchi yenye viwanda, la sivyo iendelee kuliwa na mabeberu. Mchague kati ya mabeberu na sisi.
 
Gesi itafika tu maana hamtaila kama chakula, hivyo lazima ije kwenye nchi yenye viwanda, la sivyo iendelee kuliwa na mabeberu. Mchague kati ya mabeberu na sisi.
TUPO hapa hapa labda TUFE lkn amini usiamini ikifika huko mtanunua kwa bei sawa sawa na ya mliyokwa mnanunulia Qatar au kama huamini subiria uone iyo project iki fail lzm mvimbe midomo labda muombe na ninyi mugundue yenu huko coast ya malindi
 
Mimi na wewe ni wapiganaji wa keyboard, haya mambo ya gesi yaache, hufanywa kwenye level nyingine ambayo wewe hapo kwa buku saba za Lumumba huna ueewa nayo. Utaandika humu JF kurasa baada ya kurasa na kujaza server za watu bure, kisha uende ulale, huku wanaume wakifanya yao.
Leo hiyo gesi inaliwa mkiona na macho huku mkiapa kwenye mitandao ya kijamii. Mabeberu wanajua jinsi ya kucheza na akili zenu, hebu ona chenga la macho walilowapa kwenye hili la juzi la Acacia na Barrick.
Nyie kikubwa mnachokijua ni viongozi wenu kupigianaa simu za umbea, kuna audio za simu zimeanikwa kwenye mitandao yaani siamini viongozi wanaweza kuwa petty kiasi hicho.
 
kumbe kazi yako na ww ni UMBEA ...una amini ule umbea wa audio za ku fake ? hauzijui siasa za TZ ww we kula chapooo ukisubiria gesi toka mtwara ije nairobi mpaka 2060
 
kumbe kazi yako na ww ni UMBEA ...una amini ule umbea wa audio za ku fake ? hauzijui siasa za TZ ww we kula chapooo ukisubiria gesi toka mtwara ije nairobi mpaka 2060
Hivyo Makamba ametenguliwa kisa umbea.
 
Back
Top Bottom