Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,747
- 14,649
Umeelewa kinyume mkuu! Vingamuzi vya Azam,Dstv na zuku HAVIRUHUSIWI kuonesha chaneli za ndani!! Hata ukilipia milioni bado hutaona chaneli nyingine zaidi ya Tbc! Grasp that!ila mimi kwa ufahamu wangu,naona kama TCRA wako sawa walivyo fanya sema viburi vya jamaa hawa ndo wametukomoa sijui sijaelewa, yani nafahamu kwamba channel zote local za ndani zilitakiwa ziwe free alafu za njee ndo ulipie kama unataka yani kama zamani tulivyo kua kwa analog ukitoa anttena yako njee unapata channel bure, ukitaka zanjee una nunua kingamuzi na kulipia ndo nilivyo kua najua mimi,sasa hivi vingamuzi famous wamegoma.