Kuna watu wanakosa uzalendo kwa kiwango cha kushangaza. Inaudhi sana! Si kama hawana akili, wanakosa uzalendo tu.
what if tungekubali ushauri wa ZZK kuinunua mitambo ya dowans tungekuwa bado tunasimuliana stori hizi??wapi Sitta,Slaa,Shelukindo na wale wote waliojipambanua kama wapambanaji wa ufisadi??mbona wamekaa kimya wakati nchi inanyolewa na mafisadi?sawa,walikuwa sahihi kupinga ule mkataba ambao ulikuwa wa kifisadi but ndo hivyo tena sheria ilikuwa upande wao coz waliouingia walitumia udhaifu wa sheria zetu.