Baada ya kuzaa binti, JAY-Z sasa ashika adabu kwa mabinti

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Jay-Z-and-Beyonc--007.jpg

Jay-Z has said he would stop using the word 'bitch' after he and Beyoncé Knowles had a daughter, Blue Ivy Carter. Photograph: Reuters/Corbi

Nilifikiri heshima hahitaji hadi ulizwe au utishiwe kulizwa.............................JAY-Z baada ya kupata toto la kike sasa kaahidi kutotumia misamiati ya kuwakashifu wanawake kwenye nyimbo zake na siyo wanawake wote wanaridhishwa na huu msimamo mpya wa JAY-Z................................jisomee
[h=1]Jay-Z – dropping the word 'bitch' doesn't begin to cover it[/h]
 
Sean Carter, who performs under the name Jay-Z, has apparently vowed never again to use the word bitch in the wake of the birth of his daughter, Blue Ivy Carter. And while I celebrate and congratulate his new fatherhood, this vow didn't impress me.

It doesn't begin to address his role in contributing to and profiting from the global power of a hyper-sexist brand of hip-hop masculinity. I need to hear quite a bit more about how he feels about this legacy and its impact on millions of black girls and boys before getting all teary-eyed.

huyu mama mwandishi aonekana haridhishwi na huu unafiki wa JAY-Z................
 
Hip hop mziki wa ajabu sana, uko club ngoma inapigwa bitch kibao au maneno makali zaidi kama (I put a d*ck in your ear, a d*ck in your ear, bitch f*ck u bitch f*ck u) ndani ya ngoma hizo lakini wa kwanza kukatika na kushake hadi jasho lawatoka ni wasichana wenyewe, na ndio wa kwanza kushobokea kutokea katika video hizo hizo za nyimbo: sio mimi ni maneno ya chris rock yule comedian
 
I don't real care about all this jabarasheee..
Just wanna see baby's face ..

a baby's face 4 what?

Inabidi tupige kampeni ya kuwalinda watoto na biashara za wazazi wao....................don't you think she deserves her privacy too...........just like all of us?
 
Hip hop mziki wa ajabu sana, uko club ngoma inapigwa bitch kibao au maneno makali zaidi kama (I put a d*ck in your ear, a d*ck in your ear, bitch f*ck u bitch f*ck u) ndani ya ngoma hizo lakini wa kwanza kukatika na kushake hadi jasho lawatoka ni wasichana wenyewe, na ndio wa kwanza kushobokea kutokea katika video hizo hizo za nyimbo: sio mimi ni maneno ya chris rock yule comedian

labda hii ndiyo sababu inayomfanya Afrodenzi kubadilisha somo.............kutoka female abuse to a baby's face.........
 
so shame ni wanaume wengi wako kama huyu hawamheshimu kabisa mwenye jinsi ya kike,badilikeni mlio kama huyu.
 
Nadhani wanaume wenye tabia za kukashfu wanawake lazima wajue kuwa akili zao ni finyu kwani unayemkashifu ndiye aliyekuzaa, aliyekulea na anayeishi nawe katika maisha yako yote!
 
Back
Top Bottom