Baada ya kuwa mlokole

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,687
9,869
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
 
Ulokole uutoe wapi wewe mbulula? Unacheza na ulokole? Walokole ni wachache sana na wako smart! Wengi wanaigiza na wala Mungu hawajui!
 
Amen amen...nakusamehe bure maana si maneno yako bali ni ibilisi ndani yako.
 
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Samahani nzalendo hapo unataka kufikisha ujumbe gani? Nani kakwambia kwamba Mungu atakumbuka uliyoyafanya ya uzinzi kwa kumpatia LIST yote? Nadhani hapa unafanya mzaha au aliyekuongoza kufanya hivyo amekupotosha. Biblia inasema hivi katika 1 Yoh 1:9-10
Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu.

Ahsante
 
Kwa kweli
Sijakuelewa
 
Angalia sana pepo la uzinzi lisije likakuvaa tena. kukumbuka dhambi ulizotenda Mungu amekusamehe lskini kuzikumbuka ni ishara kwamba unazifurahia na hapo shetani atashika tena ufahamu wako na utajikuta teyari umeshaanguka. Shetani ni mjanja sana maana anatumia mawazo yetu na tamaa za mwili na macho.
 
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Wakifikia 200 basi utakuwa umefikisha nusu ya idadi ya waliyotembea na mkeo.
 
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Mungu anafuta dhambi zako zote, unazozikumbuka na ambazo umesahau. Ukimpokea Yesu Kristo unakuwa mwana wa Mungu, kiumbe kipya, si wa kale tena.(2 Wakorintho 5:17).

Aidha, acha kurejea nyuma ulikotoka na kuanza kuorodhesha dhambi - acha kabisa! Anza kuwaza na kutenda yaliyo mema na masafi tu (Wafilipi 4:8).
 
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
128 wewe bado mwanafunzi kwenye hayo mambo. Sisi wengine hiyo ni idadi ya mwaka mmoja. Sasa toka nimeanza kufanya uzinzi hadi leo mabasi ya abood naweza kujaza hata 15 ama 20.
 
Unazungumzia ulivyookoka au idadi ya wanawake uliyo zini nao?
 
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Acha ujinga wewe mlokole Dhambi ni moja tu ya Uasi na Ukimpokea Bwana Yesu kua Bwana na Mwokozi wa maisha yako unakua umezaliwa mara ya pili na hapo unakua umekua haki ya Mungu na sasa u Mtakatifu usiye na lawama wala mawaa na Dhambi yako haikumbukwi tena
Kumbuka Dhambi ni moja tu ya Uasi nyingine ni matokeo ya Dhambi hivyo ikisamehewa hiyo kupitia alichokifanya Bwana Yesu unakua huru kweli kweli yaani Mungu haikumbukwi tena Dhambi zako ikiwa zile ulizofanya zamani,unazofanya sasa hivi na zile utakazofanya kiufupi Bwana Yesu alishakulipia Msalabani bahati mbaya Wakristo hamuelewi hii kitu
Anavyo sema Dhambi zenu sitazikumbuka tena milele anamaanisha kama alivyo yeye Mungu hana Mwanzo wala mwisho hivyo hivyo anaishi sasa kila kitu kwako anakiona muda huu yaani utakatifu wako
Ni wewe na Ibilisi ndio wenye kumbukumbu za Dhambi ndio maana anakulaghai ujihesabie na uandike ili akupe hatia moyoni na usikubali kua Bwana Yesu alishalipia zamani shtuka Mwamba

Kama vipi njoo chemba nikupe real Gospel kwa ushahidi wa kimaandiko uache ujinga na ukubaliane na kile Bwana Yesu alikifanya!
Nipo seriously I want to free you from satan trap! nzalendo
 
Back
Top Bottom