Baada ya kutajiwa makovu ya mwilini ya mke wake amwaga machozi bar

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wakuu JF.

Hii imetokea maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam Hongera Bar.

Jamaa mmoja alikuwa kalewa na kuanza kuwatolea maneno ya dharau na kejeli vijana wawili waliokuwa wamekaa nae meza jirani.

kuwa nyie masikini mnafanyaje hapa? Wale vijana wakamjibu Bro! Tunakuheshimu..

Jamaa akaendelea kutoa kauli chafu, kijana mmoja akamwambia msalimie mke wako!

Halafu mwambie lile kovu la kwenye paja, pamoja na la mgongoni atapona lini? Halafu napenda sana Dimples zake za kwenye makalio zilivyookaa vizuri.

Jamaa kusikia hivyo akaangusha kilio na kukimbilia kwenye gari lake!
 
Hahahahaha. . . .
Kaazi kweli kweli.

Kwanza inabidi aache dharau maana inawezekana anamdharau hata mkewe ndo maana katoka nje kumkomoa.
 
hamna lolote
mtu anaweza kumchungulia mtu akiwa gesti na kujifanya alikuwa nae
au labda ni muuguzi au daktari
 
Vijana walikuwa wanamsaidia ndo mana wakayajua hayo makovu ya ndani ya mkewe, akome na dharau zake.
 
hamna lolote
mtu anaweza kumchungulia mtu akiwa gesti na kujifanya alikuwa nae
au labda ni muuguzi au daktari

Boss hawa walikuwa wanasaidia jamaa haiwezekani wachungulie kovu hizo zote kwani haspital watu huvua nguo zote? Halafu Boss we muda wote umekaa kilevi tu why? kwanini?
 
hamna lolote
mtu anaweza kumchungulia mtu akiwa gesti na kujifanya alikuwa nae
au labda ni muuguzi au daktari

The Boss, umenichekesha naona umeamjua kujiliwaza na kujifariji...haya wale vijana walikuwa wauguzi wa hospitali
 
sasa alikimbia kwa aibu au hasira??? je alikokimbilia kulikuwa nausalama ??? maana alitakiwa kurusha ngumu pale pale bar kwa jamaa
 
sasa alikimbia kwa aibu au hasira??? je alikokimbilia kulikuwa nausalama ??? maana alitakiwa kurusha ngumu pale pale bar kwa jamaa

Mkuu hata ukirusha ngumi kazi bure! Jamaa alikwenda kulilia kwenye gari lake baadae akaondoka kwa speed ya hatari utadhani fomula one!
 
kwani alipomuoa alikuwa bikra ? km alimkuta kashachakachuliwa ,basi wanaweza wakawa x wake au tabia za wavulana kuhadithiana akawa amezisikia hizo habari kutoka kwa x wake.....anyway it could mean anything lkn pia inaweza kuwa si lolote si chochote ,na hakuna mtu anayeweza kutangaza kirahisi hivyo kuwa katoka na mke wa mtu
 
Vijana wanapa pongezi kwa kujua confidence ya jamaa na kuishusha, tehe tehe tehe tehe tehe.
 
Inahitaji ujasiri sana kumdhihirishia m2 kwamba unakula vitu vyake hata km amekuudhi namna gani!..halafu huyo mwanaume anayelia kwa kuambiwa mkewe anamsaliti ni wa sayari ipi?!!

Any way, labda ndo vituko vya uswazii.
 
Back
Top Bottom