Baada Ya Kumfunua Sasa..!

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,209
Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa
anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini..
Usikubali
tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa
Kishua, Utamsikia,
"MY MUM IS SO RICH DARR,SHE IS A DIRECTOR AT
BOT" Siku ya Send Off utashangaa unamfunua Bibi Harusi unakutana na Harufu ya Nyanya na Pilipili
Hoho, hapo ndo utajua Mama wa Bi Harusi ni MAMA
NTILIE MAARUFU, hamna cha BOT Wala MELI
 
Maisha ya kwao yanakuhusu nin....wew oa mke tengeneza family bora yako sio kusubr walizotwngeneza wenzako.
 
Kwani mtu babake akiwa director wa BOT anakuwa anaonekanaje tofauti na wengine? Mbona kuna wanawake wana vihela vidogo tu ila wanakuwa wanapendeza unaweza dhani sijui wazazi wake ni wa kishua kumbe hamna kitu. Kupendeza ni akili tu na mipango, tuache mentality za kizamani kudhani kwamba mzazi akiwa director sijui wa BOT ndo mtu ataonekana ana shine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom