- Thread starter
- #61
Duh! Namshauri huyo bwana ajadiliane na huyo mke mtarajiwa kuhusu hili la kuishi UK! mshahara wake ambao ni sawa na USD 1200 kwa maisha ya UK sidhani labda awe na kipato zaidi ya hicho na Suala la MAKAZI na BILLS za hapa na pale awe amefanya utafiti kabla ya kuchukua uamuzi, pia ajiandae kwa maelezo ya kushiba yatakayo washawishi maofisa wa migration wa UK kinyume na hapo wako makini sana kuzuia mtu asiwe mzigo wa serikali yao! Labda ningemshauri hivi, yeye aende mwenyewe amuache mke akiwa mjamzito, nauhakika atakuwa na vilikizo vya hapa na pale hivyo atakuwa na nafasi nzuri ya kuonana na shemeji yetu, na kwa wakati huo itamsaidia ku save hela zaidi ukichukulia shemeji yetu atakuwa na yeye yuko busy na kazi na ujauzito hapo kutakuwa hakuna hofu yoyote! MAISHA UGHAIBUNI NI MAZURI UKIWA BADO UKO NYUMBANI KWENU UKIFIKA LAZIMA UKUTANE NA MABADILIKO YATAKAYOSUMBUA SANA FUTURE! ni hilo tu.
Poa mkuu, jamaa yeye ana scholarship, hela ya mshahara wake ni kwa ajili ya mke. Of course accommodation na msosi sometimes si watachangia!