Baada ya James Ole Millya kujitoa UVCCM tutarajie kuona na kusikia nini?

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James Ole Millya, amejivua nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).Je nini mwerekeo wa UVCCM ?
 
NYADHIFA GANI ALIZOJIVUA ZAIDI YA UVCC mAGAMBA
 
Siasa za TZ hazieleweki na wanaoziendesha wengi sasa hivi wamefanya ni sehemu ya "kutokea".
 
Aliyeanzisha thread hajajipanga na haiekeweki katujuza nini hapo
 
Ukivuta ndumu na kunywa viroba ndo unaweza ukatabiri kitakachotokea
 
Back
Top Bottom