Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,266
- 34,237
- Thread starter
- #61
Empty head.Wazir wa Ulinzi wa Tanzania ni Stergomena Tax alafu mkuu wa majeshi ni Jenerali John Mkunda huoni uzito wa hivyo vyeo?
Hata ww unaweza teuliwa na Rais kuwa Wazir wa Ulinzi ila kamwe huwez kuwa Jenerali wa jeshi?