Azam wababaishaji: Kabla ya Kutangaza kuonesha mechi ya EPL ilipaswa wajipange kwanza.

Gamlemilwe

JF-Expert Member
May 26, 2013
290
200
Azam TV walitutangazi a kwamba wataonesha mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) mchezo kati ya Chelsea na Sheffield United lakini cha ajabu mda mfupi mchezo unapotaajia kuanza wakakata matangazo na baada ya muda wakarudisha. Nadhani wajipange kwanza kabla ya kutangaza kwa mbwembwe kumbe hakuna kitu.
 
Wazushi kweli hao jamaa.
Nimetoka kucheki mechi ya United na Sotton kibanda umiza fasta nikageuka home nikijua game ya Chelsea ntaicheki home,kumbe uzushi mtupu.
Bora ningebaki umiza tu nimalizie hii game.
 
Kwa hiyo mmeishia kumuangalia Fred Uiso Chef wa kimataifa ndani ya Masaptasapta!!

Maana walivyo wapuuzi hata taarifa kama imeshindikana huwa hawatoi.
Na ndio shida kubwa ya hawa jamaa.
Yaani hata kama kuna tatizo wao huwa hawatoi taarifa ni kimya kimya kama walivyofanya kwenye AFCON.
 
Taarifa
Screenshot_20190901_070446_com.instagram.android.jpeg
 
Back
Top Bottom