Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

Kurusha kombe la Dunia ni wajibu wa Serikali, sio kilakitu wafanye Azam. Serikali inabidi iwajibike kwaajili ya wananchi wake ata Kwa package chache.
Nchi nyingine Kila mkoa au wilaya Kuna baadhi ya sehemu za wazi vinafungwa vifaa na kwakutumia projector watu wanapata burudani na kusahau shida zao Kwa muda.
 
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
DSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.
 
Kurusha kombe la Dunia ni wajibu wa Serikali, sio kilakitu wafanye Azam. Serikali inabidi iwajibike kwaajili ya wananchi wake ata Kwa package chache.
Nchi nyingine Kila mkoa au wilaya Kuna baadhi ya sehemu za wazi vinafungwa vifaa na kwakutumia projector watu wanapata burudani na kusahau shida zao Kwa muda.
Lazima serikali itarusha kupitia wabia wao ambao ni Startimes!
 
DSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.
Yeah Inatakiwaa kujuaa DSTV Ndio mwenye mamlaka wengine wakitaka kuonyesha lazima wamlipe dstv ili wajiunge naye kama ilivyo ligi yetu matangazo ya tv anayo hatimiliki azam na kwanjia ya redio anyo hatimili TBC fm
 
Back
Top Bottom