AZAM Media jirekebisheni, Habari zenu Zinaboa

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote.

Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama ya tabloids au Udaku. Inachefua sana, vichwa vya habari nusunusu viliyokaa kichochezi na visivyozingatia maadili, huku habari halisi ikwa no tofauti na yalaiyomo. Pia uwasilishaji wa habari hasa za nchi zinaonekana kuanza kuwa kama za kishabiki mkijaribu kila wakati kuonyesha ubaya wa hali ya nchi badala ya kubalance habari.

Kwa mda mrefu tumetamani kuwa na media ambazo ziko authentic na balanced, na zinazopotray patriotic front kwa kucover progress ya nchi. Please jirekebisheni.
 
Hawa jamaaniliangaliauzinduzi waona watu walivyokuwa wanawasifia.

Mimi nilivyoona poor color coordination na aesthetic za studio zao kama a purple rain space shuttle meets retro Star Trek tu nikajua hapa hamna kitu.Ila nkasema labda mimi naweka standards tofauti sana na zilizozoeleka bongo.

Sasa naanza kusikia hata kwenye habari ndo hivi?
 
Tatizo la Azam ni kuwa wanatoa habari zilivyo bila kuzichuja, jambo ambalo haliwafurahishi wakubwa. Najua tatizo ni habari y bombadier kutolewa kama ilivyosemwa na lissu
 
Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote.

Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama ya tabloids au Udaku. Inachefua sana, vichwa vya habari nusunusu viliyokaa kichochezi na visivyozingatia maadili, huku habari halisi ikwa no tofauti na yalaiyomo. Pia uwasilishaji wa habari hasa za nchi zinaonekana kuanza kuwa kama za kishabiki mkijaribu kila wakati kuonyesha ubaya wa hali ya nchi badala ya kubalance habari.

Kwa mda mrefu tumetamani kuwa na media ambazo ziko authentic na balanced, na zinazopotray patriotic front kwa kucover progress ya nchi. Please jirekebisheni.

Wewe kama umeajiri Watu waliokuwa vinara wa Majungu, Fitna, Ushirikina, Umalaya / Uhuni, Roho mbaya na Umbea huko walikotoka halafu leo tena ukawaleta wote kwa pamoja wakae katika Media yako unadhani hapo unatengeneza bomu gani jipya la Nyuklia Mkuu?

Pole sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom