Azam Airlines Yaja

Status
Not open for further replies.

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
450
Wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....Shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara. Huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduma za FastJet
 
leteni source, au ndio mnamwambia aanzishe hilo shirika kinyumenyuma?
 
wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara....huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduna za FastJet...

Toa link. Tupe hiyo link
 
Wakuu hii habari njema,Hatimae Azam hivi karibuni itashusha ndege 5, hii itasaidia tuliokuwa tunawategemea fastjet kuturahisishia safari.

Safari zake zitakuwa za Kilimanjaro,Mwanza,Zenji,Mbeya na mikoa baadhi.

Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya airbus

Bakhresa ataleta mapinduzi kwenye kwenye usafiri wa anga.
 
wakuu hii habari njema.. Hatimae azam hivi karibuni itashusha ndege 5 hii itasaidia tulio kuwa tunawategemea fastjet kuturaHisishia safari.... ruti zake ni kirimanjaro,mwanza,zenji,mbeya na mikoa baadhi...Kwa mujibu wa tovuti ya airbus

bakhresa ni shidaaah

Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
 
uongo tu. hamna kitu, kwanini mnamsemea mtu biashara zake, kama ni kweli yeye si angeshasema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom