Ayub Rioba: Why is Obama ending Africa trip in Tanzania?

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
"It's pure business. America has interest in Tanzania's natural resources. And as we already know, there is Halliburton. There's also General Electric. Companies that have already signed an agreement with our government to tap the gas resources and generate electricity."

Tanzania's untapped natural gas reserves will likely dominate discussions during Obama's visit to Tanzania, which boasted a 6% growth rate last year… a country fast emerging as East Africa's new economic battleground for the U.S. and China.
 
Because is da place where natural resouces are given for free..so where else to go? Russia!? Kikwete is such a weak president, said hr Mnyika,a lot of credit to you bro.
 
i was asking the same qtn, i think it will make easier to export giraffe, gas, uranium frm tz to US than if it were the other way around
 
Because is da place where natural resouces are given for free..so where else to go? Russia!? Kikwete is such a weak president, said hr Mnyika,a lot of credit to you bro.

As it was once urgued that ur wife said ur week too on mambo yetu yaleeeeeeee
 
Kikwete seek US support against future indictment in the The Hague.
 
America has interest in Tanzania's natural resources. ...
Tanzania's untapped natural gas reserves will likely dominate discussions during Obama's visit

Sidhani.

Marekani wakitaka wanaweza kutupa sisi natural gas bure tuuze tule, bila masharti, na hatutawamalizia.

Wanazalisha 100 billion cubic feet plus, sisi tuna mategemeo ya kuzalisha 10 million cubic feet. Mategemeo!

Natural Gas Extraction by Countries (cubic meters per year)

23 February 2013

800px-Natural_Gas_Production_of_Countries.png

I mean, evidently they got more natural gas than they need, hawafati gas hapa, kuna mengine.

Mimi nayaona mawili, kwanza ni tishio la Tanzania kuwa supplier wa Uranium kwa Iran, wanajaribu kuja kujenga undugu ili tuwe ally wao na baadae waweze kutuzuia tusiuze Uranium. Kingine ni mashindano yao na China kuwekeza Africa. And anything else they can find here but kukwapua natural gas.
 
Shamba la Malula, si ni hata Bush nae anakuja ku-hand over??
 
I would like to hear from a truly Tanzanian,particularly our president of URT, telling the US president that at this moment Tanzania is looking how is going to help America. It high time Tanzania stands firmly and proudly that, we are able to help other developed countries, including USA. With our minority, however, we have the means (resources) to address our strength in international arena.
 
To my opinion, this is a business centred visit. no permanent frnd or enemy. but permanent interests there's smthng. threat outweighs opportunities.
 
I would like to hear from a truly Tanzanian,particularly our president of URT, telling the US president that at this moment Tanzania is looking how is going to help America. It high time Tanzania stands firmly and proudly that, we are able to help other developed countries, including USA. With our minority, however, we have the means (resources) to address our strength in international arena.

You better think something else; Kikwete isn't bold enough for something like that Mkuu
 
USA Today wamesema leo kwamba kilichomleta Obama hapa leo ni security interests zao. Kitu ambacho niliku guess nilipooengelea Uranium.

Vice President wa Iran alipokuja hapa mwaka jana ni lazima ubalozi wa Marekani ulifatilia na kutuma taarifa nyumbani. Tanzania kuwa Uranium supplier wa Iran ni major security concern kwa Wamarekani, na ndio kinachowasumbua na wanajiandaa mapema kwa kujenga mazingira ya u-ally.
 
Are Uranium and Kikwete standing as natural resources for America?
The answer is YES.
Why? America can explore and utilize them effectively
 
Hawana tafiki wa kudum ila adui wa kudum hii kauli wanaisema hadharani wamarekani Obama yupo kutekeleza katiba na matakwa ya inchi yake tusijidanganye kua hatuna cha kuibiwa na marakani eti kwasababu takwim zinaonyesha wao wanazo rasilimali nyingi kuliko sisi vp unaijua idadi ya watu marekani? unayajua matumizi ya serikali katika majeshi yaliyo nje ya marekani? Huko Iraq,Misri na Libya walikochangia katika machafuko na kusaidia waasi wa serikali harali nako vp kwani kunarasilimali zaid ya za kwao? hakuna mpango wakuingiza marekani katika hasara kunamipango ya kuikuza UBEPARI NI KAMA KIRUSI KINAJIGEUZA KILA SIKU NAKUJIBADILISHA JINA ILA DHANA NI ILEILE UNYONYAJI
 
Hivi hata kama tunasema Rais wetu anapenda kufanya ziara nje je ni nchi zote anaenda? Si lazima ziwe na maslahi kwa Tanzania? Alishawahi kwenda Uruguay au Peru? Lakini Brazil tuna maslahi ya kibiashara.
 
Sidhani.

Marekani wakitaka wanaweza kutupa sisi natural gas bure tuuze tule, bila masharti, na hatutawamalizia.

Wanazalisha 100 billion cubic feet plus, sisi tuna mategemeo ya kuzalisha 10 million cubic feet. Mategemeo!

Natural Gas Extraction by Countries (cubic meters per year)

23 February 2013

800px-Natural_Gas_Production_of_Countries.png

I mean, evidently they got more natural gas than they need, hawafati gas hapa, kuna mengine.

Mimi nayaona mawili, kwanza ni tishio la Tanzania kuwa supplier wa Uranium kwa Iran, wanajaribu kuja kujenga undugu ili tuwe ally wao na baadae waweze kutuzuia tusiuze Uranium. Kingine ni mashindano yao na China kuwekeza Africa. And anything else they can find here but kukwapua natural gas.

Kudos to you dude!
 
Hivi hata kama tunasema Rais wetu anapenda kufanya ziara nje je ni nchi zote anaenda? Si lazima ziwe na maslahi kwa Tanzania? Alishawahi kwenda Uruguay au Peru? Lakini Brazil tuna maslahi ya kibiashara.
Kwani Tanzania tuna maslahi gani ya Kibiashara na Brazil?
 
Kumbe na Mr.Bush nae yupo tayari,Tanzania kweli ni priority katika strategy zao za kunyonya.Waje tu kuwekeza watu wapate ajira lets just hope they don't fleece the country to bottom of the crust and disappear leaving us with plenty of holed sites and not knowing what to do with them in the end.
 
Nasikia wanakutana na na Bush katika ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa.Kama ni kweli, there is something very very wrong with Tanzania.Time will tell.
Shamba la Malula, si ni hata Bush nae anakuja ku-hand over??
 
Back
Top Bottom