Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,080
- 1,284
Wana jamvi niwape salamu za kutosha...Kama kila mtu anavyojua sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kampeni na hatimae tarehe 25 tutapiga kura ya kuchagua raisi,wabunge na madiwani.
Hili ni wazo langu, nahisi ni wakati muafaka biashara ya ngono kuhalalishwa kwa sababu zifuatazo,
Kwanza itachangia kuongeza pato la serikali kuu kwa kukusanya kodi kwa watoa huduma (ukipata huduma ukumbuke kudai risiti kwa aliyekupa huduma) na hili linawezekana kabisa hata kwa kuwapa vi efds vyao bure.
Pili wigo wa ajira utakuwa mkubwa na hata heshima kwao itaongezeka, hata akikuzulumu una haki ya kumshitaki (wangapi mmelizwa nao mkaamua kuumia tu moyoni, tena Kimboka ni janga katika hili).
Nawasilisha hoja, leteni comments za kuongezea nguvu hoja hii kwa manufaa ya taifa na kizazi chetu.