Avatar zenye kutia tumani na zenye kukatisha tamaa!

Yangu ni nzuri sana. Inakumbusha kuwa CCM ni PYRANIA wa Uchumi wa Tanzania. Ndiyo maana kofia imeandikwa TC yaani CCM Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa CCM zipo nyingi duniani.

ONYO: Ukifika mtoni au bwawa, uliza kwanza wenyeji kama hilo eneo kuna PYRANIA. Vinginevyo, you are eaten alive.

piranha1.jpg


Hivi hawa jamaa ni this deadly?


nat-geo-wild-deadly-60-argentina-piranha_36992_600x450.jpg
 
Hahah...na wewe unaonekana bangi ndo ilikukimbiza shule!
Ha ha ha aha, haihusiani na shule kabisa, wakati wengine wanakimbilia kikombe mm nina uhakika na jani la maisha, Halafu picha yako inadanganya sana, kwa waalimu tunajua tu kuwa unajifanya kuconcentrate ilhali huelewi kitu ili usiulizwe maswali
 
Samawati ww ni ke ama me? Mimi napenda sana strawberries, sasa hapo tamaa inakuja-kujaje? ama unaskia njaa,lol?
MI KE

Strawberries kuliwa kichokozi inaashiria...... ngoja atakujibu Mr hapa ....


mimi yakwangu wamachinga wanaisoma vizuri na ccm wakati utakapovika
Uhalifu haujali kimulimuli cha polisi

mie naipenda ya ccm yenye kisu na uma!!
Usinihuzunishe... mnamkumbuka bi dada Casta Semenya alivyodhulumiwa kisa anakufanana?!

imekaa kinafiki nafiki...khaaa...
Ukikosa pombe hata dakika moja utakufa!

yeah that makes the two of us!
Mwalimu wangu wa physics kakufanana kweli!...ngumu iyo!! Lile buku la Abbot ukipanda nalo kwenye daladala utalipishwa nauli mara mbili!!

Nimeona yako niajua tu wewe ni mdada, recently married (within 5yrs) ama beyond 15yrs in marriage, lakini 5yrs zaidi.
Inaonyesha una mapenzi kwelikwelii na mumeo..
Inatia moyo kwetu sisi ambao tunaelekea huko.
MHUBIRI ENDELEA KUMWAGA SOMO WATU WABADILIKE

Mara ya kwanza kabisa niliingia JF nilishangazwa na avatar ya SOKWE WA TOWN. Pia nilivutiwa na avatar zenye ku-move (img pictures)
Saint Ivuga avatar inaonesha ushabiki wa nguvu sana...

Kaddada kadogo lakini hatari maana kucheza russian roulette ni nusu kifo!

Watu mmezi kwa upendeleo....nitaandamana mleta mada apigwe ban ya maisha ohh...
Watoto ndio watakaokuja ikomboa Tanzania maana wazazi wao wameshindwa kabisa

Mhh kwahiyo am a puzzle within a puzzle...
Sijui hii ni compliment au ni short word for haifai...?
anyway I will take it as a compliment

Hata wewe naona una maswali mengi kichwani .... unawaza nini??

nadhani yangu ingekuwa ya kwanza katika "kutia moyo"! ila hujaitaja
Tena wewe..unakatisha tamaa kabisa...huna tofauti na mapapa na manyangumi wanaoibia wanyonge

Naipenda ya Mwanakijiji, jinsi alivyo karibu na jembe, inaonekana alikimbia shule

Obe punguza bangi ujiunge na mwanakijiji..usilime bangi lakini ehh

Hata hivyo mm ni SHE mkuu, nilizungumzia avatar ya babu yangu

We mtoto!
 
Ya michelle jamani halafu MICHELLE uko wapi? nimekumis sana plz nipm nikusikie plz
 
Samawati hapo unanionea. hiyo ilikuwa timing mbaya ya mfotoaji picha, mie walaaaa sihusiki! sasa na studio kulibyo mbali,nivumilie hadi krismas basi ntabadilisha hii avatar, mdhibiti shem asije huku eeh

MI KE

Strawberries kuliwa kichokozi inaashiria...... ngoja atakujibu Mr hapa ....
 
mie avatar yako inanikwaza kidogo, manake nampenda sana denzel, so wakati mwingine najiskia kama nimemuona superstar afu najistukia we ar in dream land,lol

mhhhh naona umeamua kunitokea hapo waziwazi
eti unampenda saana denzel...na unasghtuka ukinona duh...

Nimekusikia,nitakufikia...
 
Rajeo - inanitisha sana hadi nasikia kichefuchefu
Gaijin - mdada huyu jamani !Anapata muda kupumzika kweli ?Pumzika kidogo basi
VOR - Husomeki mkaka
Pakajimmy - acha kufoka muda wote utapata BP bureee
Speaker - huo mziki saa zote utakuwa kiziwi siku siyo zako!
Ukicheka na nyani utavuna mabua, ha ha haaaaa!
Usidanganyike na avetari Samawati, kauli zangu zinamtoa nyoka pangoni!
Try me!
 
Avatar nyingine zinatisha na nyingine zinavutia, napendezwa zaidi na ya the finest na afrodenzi.
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua, ha ha haaaaa!
Usidanganyike na avetari Samawati, kauli zangu zinamtoa nyoka pangoni!
Try me!

mie shahidi......hivi wewe.......lini tunaondoka kwenda Zenj harusini?.......sikuelewi ujue?
 
mimi huwa nikiiona hii avatar...... avatar24727_1.gif.jpeg ........hata kama nina hasira huwa natabasamu......sijui kwa nini........
 
plz, wala usinifikie! im afraid of getting a disappointment hahaha! dont burst my bubble,lol ( unajua denzel was voted most handsome man on earth, nadhani 90's hivi? he has the most symmetrical face)

mhhhh naona umeamua kunitokea hapo waziwazi
eti unampenda saana denzel...na unasghtuka ukinona duh...

Nimekusikia,nitakufikia...
 
Back
Top Bottom