Avatar ya mtu inaweza kuchangia mtazamo wa wana JF juu yako?

Hahahaha!Angalia hapo juu nimeshajibu bana Kloro!Pozzi linanihusu nikiwa na mawazo...nywele japo hua haziwi hivyo muda wote ila napenda zaidi zikiwa hivyo..akafu hiyo chokoleti ndo kabisaa haichakachuliwi hata kwa jiki!
khaaa! ukichanganya na kale ka umri ketu. hakyanani naomba ujibu PM zangu.
 
Haya ulipenda pozi!Hiyo ndo sababu yako!Binafsi yangu hilo pozi la kufikiria ndo lilinikamata maana hua nakaa hivyo sometymz...na rangi na nywele kwasababu napenda naturali!So yangu inaniwakilisha in many levels..ila kiFIKRA zaidi!

Je umbo lako na hiyo avata vinafanana?
 
Hehehe we siulisema huwezi kubeba vitunguu wewe?
foget ze past honey, nitabeba hata ugoro kwa ajili yako. naomba umpotezee cpu na uporoto. naahidi kukutunza mbele ya sredi hii ya charger inayohusiana na avatars na uhalisia
 
foget ze past honey, nitabeba hata ugoro kwa ajili yako. naomba umpotezee cpu na uporoto. naahidi kukutunza mbele ya sredi hii ya charger inayohusiana na avatars na uhalisia

Hahaha Kloro bwana!Sasa huo umri unaokudatisha ukisogea si unanimwaga?Na chokoleti ikipauka ndo unanitupa kabisa!?
 
foget ze past honey, nitabeba hata ugoro kwa ajili yako. naomba umpotezee cpu na uporoto. naahidi kukutunza mbele ya sredi hii ya charger inayohusiana na avatars na uhalisia

Etiiiiiiiiiiiiiiii??????:hatari::hatari:
Nauaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ha ha haaa halafu nahisi ameanzia kusoma hapo hapo kwenye red ndio karudi mwanzao na kumalizia mwisho jamaa yupo sensitive:lol::lol:
Ha ha ha ha
Mkuu chaja
kloro mchokozi
 
I agree with you. Kwasababu avator mtua anaichagua hivyo inaendana na tabia/mawazo yake. What am saying is Avator itakuwa haina tofauti sana tabia, shughuli za mhusika!!! I dont know!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom