Avatar ya MadameX

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,092
Huwa nikiitazama nacheka sana maana inanikumbusha kwamba tumewahi kuidiscuss sana picha hiyo wakati tu imetoka na nakumbuka maneno ya watu........Dah walah nafurahi mie!
Thank you MadameX kwa kunifanya nitabasamu kila mara ninapopita na kukuta avatar yako
 
Last edited by a moderator:
Huwa nikiitazama nacheka sana maana inanikumbusha kwamba tumewahi kuidiscuss sana picha hiyo wakati tu imetoka na nakumbuka maneno ya watu........Dah walah nafurahi mie!
Thank you MadameX kwa kunifanya nitabasamu kila mara ninapopita na kukuta avatar yako

Duuh, kumbe kulikuwa na mjadalah about me.....sijawahi kuuona
 
Dah kuna watu huwa hawalali humu eeh! Hii inaonyesha ni namna gani hawana wenza au kama wanao wamewachoka au wamechokana. Post saa 7,8,9 usiku khaaa!
 
Kuna mpango kazi wa kuigeuza JF the next FB!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom