Authorized Point For Checking DNA

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Please wana JF

Naomba kujuliwa ni hospital gani zinaruhusiwa kufanya DNA Test tanzania....nimeuliza muda si mrefu wanasema ni Muhimbili tu.Tanzani Nzima!
Hii ni kweli kwa nchi nzima tuna DNA Test point moja...!!Kweli urgent i need to knw.
 
Najua wanaofanya DNA ni Mkemia Mkuu wa Serikali ila kuna taratibu zake za kujua sababu na vibali. Kwanini usianzie pale upate maelekezo?
Ni karibu na Ocean Road Hopsital (campus moja).
 
Ok Jamaa anataka kuona mtoto kama ni wake....thats all he need.Ntamwambia aanzie pale.
 
Back
Top Bottom