August 28, 2013: Yanga vs Coastal-Taifa | Rhino vs Azam-Tabora | Simba vs JKT Oljoro - Arusha!

Kama kawa kama dawa,leo tupo hapa kuwajuza live vipute vya big three's(Yanga,Simba na Azam)
Utabili wangu:
Yanga2-1coastal union
Rhiono1-1Azam
Oljoro0-0Simba

Nawasilisha.

hapa ARUSHA ni dakika ya 24 sasa, Simba wanapata kona
 
Hivi kama ni watu wa kabumbu, badala ya kutuelezea habari za ngumi, rasta au hirizi hakuna wa kuanaili mfano dk kumi-15 za mwanzo timu zinacheza mfumo gani, nani anashambulia au koswakoswa na player(s) gani wameng'ara ktk muda huo.. ? Hata kama sio kocha lkn kama unaujua au uliwahi kucheza basi unaweza kuwa pundit wa muda plzz... !
 
Back
Top Bottom