Auawa nje ya ubalozi wa Marekani, Ubalozi watangaza kufunga huduma zake leo

Acheni uzushi, je kuna kitu gani kinaonesha ni gaidi??? Mbona huyo anaonekana ni mpita njia tu ambaye kauliwa. Inasikitisha sana kama tutauana kwa kisingizio cha muonekano. Ifikie pahala tuaminiane.

Mudawote;
Jitahidi kuwa balanced kidogo tu. Usikimbilie saana dini hapana. Muuaji alimshambulia Afisa Pilisi, akamchoma kisu kichwani na kifuani, kama tulivyo elezwa.
Sasa, ulitaka wakae naye wampe chai? Hivi; angelifuma bunduki angelifanya nini? Siungi mkono kuua hovyo ila pia simuuingi mkono huyo msomali kwa kitendo chake cha kumchoma kisu polisi.
Auliwe tu ili kiu ya mauti ipoozeshwe.
 
wamarekani waoga sana na ndio maana wanakimbiliaga kuua. mtu ana kisu tu hayo marisasi kapigwa ya nini? wangemzibiti tu wampige pingu akajibu vizuri ndani ya cage wapate intel zaidi. sasa ujinga wao, utawaponza and always huwa unawaponza. huyo ntu alikua bonge la source ya intel ambayo ingewasaidia sana.
 
Gaidi anatinga na kisu tu eneo sensitive kama ubalozi wa Marekani? Wakenya wenye Asili ya Somalia wanaisoma namba huko Kenya aisee

taarifa zina sema alikuwa analazimisha kuingia, offisa mmoja akamzuia na yeye akamchoma kisu ndipo alipodunguliwa na afisa mwingine aliekuwa karibu akiona kinachoendelea. So i hope kapata haki yake na kama sivyo Mungu ampe rehema zake.
 
nyie wabongo mnapenda kushabikia alshabaab sana ndio maana vijana wenyu wengi wanavuka na kwenda somalia kujiunga na hawa magaidi. Inafurahisha pale unapodhani nyinyi mko immune na hawa watu, kuna sleeper cells nyingi sana inactive hapo bongo, na usijidanganye kuwa itakua hivyo milele, mda kidogo tu na utaona hao unaowasifu wanakuulia ndugu zako, hapo ndipo utajua nini maana ya terrorism na adhari zake kwa jamii.
Swadakta na waambie wafanye ref ya case ya Ghailan a Zanzibar .
Ukipata maelezo kutoka kwa watu wake wa karibu taarifa walizozipata kutoka FBI wakati wa mahojiano na wanafamilia utaogopa na utajua hatuko that safe!
 
Basi huku kwetu wangeuawa wengi, maana wengi wanatembea na visu hasa watu wazima haijalishi kabila gani, anakuwa na kisu chake kiunoni wala hakuna anayejua, wenyewe wanakwambia me lazima awe kisu kiunoni.
Umesoma vizuri bandiko mkuu?

Kwani tatizo ni kutembea na kisu au kujaribu kukitumia kisu kudhuru?
 
Acheni uzushi, je kuna kitu gani kinaonesha ni gaidi??? Mbona huyo anaonekana ni mpita njia tu ambaye kauliwa. Inasikitisha sana kama tutauana kwa kisingizio cha muonekano. Ifikie pahala tuaminiane.
huoni kisu hapo karibu yake alichotaka kumchoma askari?
 
Mi MTU akivaa tuu kanzu linaloashiria ni muislaam na vile sijaishi maeneo yenye waislaam wengi nachukia mbaya, simuamin,kwa kifupi nambagua kiaina sina story na huyo kwenye picha na muona ni kizazi kileeee alla akhubar
 
Mi MTU akivaa tuu kanzu linaloashiria ni muislaam na vile sijaishi maeneo yenye waislaam wengi nachukia mbaya, simuamin,kwa kifupi nambagua kiaina sina story na huyo kwenye picha na muona ni kizazi kileeee alla akhubar
Unless uniambie wewe mpagani ila kama una imani hizi tunazoamini zinamtukuza Mungu basi nakuhakikishia unapoteza muda wako tu,ishi na watu wa imani tofauti na yako vizuri ili wapate kuona kile unachokihubiri sio kuwaonyesha chuki hakuna imani inayofundisha hivyo,Mungu habagui anatupa wote riziki tuwe wabaya tuwe wazuri wewe ninani hadi umchukie mwenzako usiyejua kesho yake?nakushauri mkuu jirudi ukiitaka pepo jifunze kuwapenda walio na tofauti na wewe.
 
Soma vizuri news yenyewe wacha kukurupuka na comments za ufala

He stabbed a kenyan police man in the head and chest before the police shot him dead

Hakuna damu kwenye kisu, tafuta picha huku za huyo msomali na kisu chake, chunguza kama utaona damu kwenye kisu.
 
Hakuna damu kwenye kisu, tafuta picha huku za huyo msomali na kisu chake, chunguza kama utaona damu kwenye kisu.
kama kungekua na damu kwenye kisu affisaa angekua kauwawa.... ukidunga mtukisu hadi kiingie ndani ya mwili (deep cut) ndo damu itabaki kwa kisu..... anyway, hii investigation inafanywa mara mbili.... upande mmoja na polisi wa kenya na upande mwengine na FBI.... wale FBI kilamtu anajua hao ni wakali wao, watakagua kila kitu, watachanganya ushahidi kitoka kwa waliokua wako karibu, ... alafu isitoshe pale karibu na huo mlango hua kuna kamera ilio chukua kila kitu.... kwahivyo tungoje tusike in estigation zikikamilika
 
Back
Top Bottom