Attention attention attention kwa kila mwanaume!!!

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
81
ATTENTION ATTENTION.
Usijione una zali kwa kushobokewa na mademu ktk kipindi hiki, kwan wataalamu wa mapenzi kipindi hiki wanakiita "HIGH SEASON" ambacho mademu weng huwashobokea washkaji, nia na madhumuni ni kuja kuwadai baibui, vitambaa na pesa za fundi kwa vile skukuu inakaribia.
Kufanikisha hilo watapiga simu sana na kujifanya wamekosea namba, walokupotezea watakukumbuka, alokudengulia utamwona anakupenda gafla! chukua tahadhari.
 
Back
Top Bottom