Gele vaheke
Senior Member
- Mar 22, 2012
- 138
- 6
Hili ni geti ambalo lilikuwa lina pingwa vikali na wananchi wa wilaya ya kilombero hususani wakazi wa ifakara Mpaka kidatu kutokana na kutozwa ushuru wa mazao yao ya chakula ndani ya wilaya leo nimepita sijalikuta geti na kibanda walicho kuwa wanachukulia fedha za wakulia kime vunjwa kama kwa katapila sasa nauliza je haya mapinduzi yamefanywa na wananchi?