ati wazee wote wako vijijini.mjini wanaume wote uitwa baby

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
napenda kuwajulisha wanaume wenzangu mkiitwa baby msijione special na kuona mnapendwa sana apa mjini wanaume wote wanaitwa baby.
mimi binafsi sipend kuitwa ilo jina la baby asa baada ya kuona mtu anakuita baby harafu anakuomba pesa au anaomba umpeleke shopping dubai. hongkong.bangkok na kuala lumpur malaysia.
kuna mdada apa nimembana sana anieleze ukweli kaniambia mwanamke ufikia hatua ya kuwaita baby ata wanaume 5 kwa pamoja uku kila mtu akimueleza shida yake.
pia ameniambia wanaume wengi tunapendwa kuitwa baby.sweetheart. na ukimtumia mwanaume msg ukaandika ' baby na shida ya laki 2' ni lahis sana kusaidiwa kuliko usipoandika ilo jina baby au sweetheart.
wanaume amkeni asa ambao atujaoa bado aya majina ya baby yapo kutuibia pesa zetu.
mim sitak tena mtu aniite baby ishanipotezea mamillion. tena mwingine ni rafik tu harafu anakuita baby.sweetheart etc wizi mtupu tu.
 
Majangaa! Hela utoe mwenyewe! Alafu machozi ulilie jf!!
 
Mmmh! Cjaelewa beby!

nazungumzia mtu rafik wa kike kukuita baby ili anufaike na kitu fulani kutoka kwa mtu. pia mwanaume kufurahi na kujiona VIP anapoitwa baby kumbe uyo mwanamke ana watu wengine pia uwaita baby.na mjini wanaume wote uitwa baby hivo ukiitwa baby usijuone VIP
 
Ubahili wangu unanisaidia mengi

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
umeona eee mi nimesoma tittle tu long live bebi Dark City
Hilo jina ni reserved bwana...huwazi kuitwa baby na kila mwanamke....

Hata King Mswati anajua tu kwamba karibi ile idadi yoote wanamg'ong'a...!

Ila haya malalamishi mengine ni ishara ya uchanga kwenye game..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom