Ati kudeka ni kaugonjwa???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
jamani nashindana na kabinti fulani kanangangania kudeka kila siku kakiwa kwa mama yetu ndogo..ni 25 yrs lakini kakienda kwao pamoja na kuolewa kama kachanga kanavyoishi sasa huu ni ugonjwa ??

WENYEKUDEKA UKUBWANI TUSAIDIANE HATA KAMA NI DAWA NIJARIBU KUKIPA HAKA KADADA CHANGU KASIACHIKE JAMANI !!KAKIRUDI NI SIE TUNALEA TENA SHDA TUPU...
 
huyo kaolewa na bitozi.thats why..
angeolewa na kidume cha uswazi wala msingepata tabu..
angepata dozi za uhakika,na kudeka kungepungua...
 
Ngoja hao wanaokubali deko lako ndio wanaokuharibu.
Ngoja siku wasiwepo kama ataendelea na hiyo mambo!
 
Hakuna asiyedeka!! Wote mtindo mmoja. Ila yategemea calculations: wapi, wakati gani, kwa nani, kwa namna gani. Ukikosea mahesabu hayo ndiyo kudeka kunaonekana kasoro, au taabu. Lakini ukiyapatia mahesabu ni raha wee acha tu; tena siyo kwako hata kwa yule unayemdekia. Kudeka kunatakiwa kuindikizwe na aina fulani ya busara.
 
napenda sana wabinti wanaojua kudeka hasa kwa poz fulani ivi za kimahaba..its so hot!!Jaribu kuchunguza utagundua asilimia kubwa ya wanaume wajanja wajanja wanadakwa kirahisi na mabinti wenye hulka hizo...unajikuta tu unavutwa maskio ujanja wote kapuni!!..tofaut na wanawake ambao wapo serious mda mwingi...naomba umuache
 
Hakuna asiyedeka!! Wote mtindo mmoja. Ila yategemea calculations: wapi, wakati gani, kwa nani, kwa namna gani. Ukikosea mahesabu hayo ndiyo kudeka kunaonekana kasoro, au taabu. Lakini ukiyapatia mahesabu ni raha wee acha tu; tena siyo kwako hata kwa yule unayemdekia. Kudeka kunatakiwa kuindikizwe na aina fulani ya busara.

Mdau hapa upo sawia..kweli madeko kwenye penzi yanaraha yake..na mwanamke ameumbwa na Deko kwa mume/mpenziwe..ila kama ukikosea hesabu za madeko ndo hapo kunakuwa nakero!!...Binafsi nazimikia mamsapu anapoleta mapozi flani hivi...anakufanya ujione upo kwenye Anga nyingine kabisaa yakizidi yanakuwa kero!!
 
Mwanamke kudeka. Hako kaugonjwa kumbe wengi tunakapenda ila mdekaji aangalie anamdekea nani na wakati gani. Hata kama ni mke kwa mumewe inategemea na mood aliyonayo mume,unaweza kuweka pozi zako za deko kumbe mume anamawazo tofauti mida hiyo ikawa kizaa zaa
 
wengine wakiwa na waume za watu ndio wanadeka waume zao loh!!!!
kama wamemwagiwa tindikali!!!!
acheni,..tena komen
 
teh teee eeee....eee.e
Raha ya kudeka umpate wa kumtekea wandugu, usipokua nae utamdekea nani i!! huyo mwacheni atedeke tu maana mtu anaedeka siku zote ipo siku ataacha tu mwenye, hakuna dozi kama boss alivyosema wala hakuna tiba mmbadala - kudeka kama ukimwi tu!!
Ukideka ipo siku utaacha baada ya yule ulekua umadekea kufa. Na ukimwi unaisha utakapo kuingiza kaburini kama kawa na ndo dawa yake!! so don iven botha kwa hako kabinti kataacha tu !!!!!!!
 
Mwalimu aliwauliza wanafunzi darasani swli 'nini chanzo cha mwanadamu?majibu yalikua 50 kila mwanafunzi alitoa jibu lake hii ni kwasababu mwalimu hakutoa maana ya mwanadamu hii ilifanya kila mwanafunzi kutoa jibu lake, kosa hili alilofanya mwalimu lilimfanya ajiulize swali gumu lililomchanganya ;je tatizo ni swalii au akili za wanafunzi??kwani iweje swali moja lilete majibu 50??Mantiki inaonyesha huwezi kujibu swali lililokosewa kwa kutoa jibu sahihi. Kudeka kua ugonjwa,tabia,kitu au mnyama inawezekana tuuu kama utaweka bayana nini sifa za huyoo mdogo wako zinazokufanya ujiulize swali gumu ambalo hata mimi naliona umelikosea weka hoja sawa upate majibu sawa. Daktari hawezi kukupa dawa kwa kumwambia tu unaumwaa maana kuumwa kuna maana pana na maeneo yanayouma ni mengi.Hi inamaanisha atashindwa kujua atibu ugonjwa gani?Atibu malaria au mguuuu?mjibu hoja ni dokta lazima uweke hoja sawa.
 
WEWE WACHA KUMZINGUA MWAMBIE SINA JIBU

MBONA UKIENDA HOSP UNAWASHWA SEHEMU ZA SIRI UNASEMA UNA GONO...SI MPAKA DK AANGALIE ASHIKE SHIKE NANII YAKO NDIO AKWAMBIE NI FANGUS LAKINI WE MPAKA UNAKWENDA UNAJUA MAMBO YA Go& NO
 
Back
Top Bottom