Athari za kuporomoka kwa uchumi kwenye mahusiano na ndoa

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Ukiacha mabo ya mboga na matumizi mengine

- Nyumba ndogo hazitembelewi na zimezidi kubipu

- Waliotongozwa siku za nyuma wakachomoa sasa wanajilengesha na mijibaba haiwataki

- Baadhi ya mahusiano yamevunjika kwa kukosekana uaminifu

- 'Pump' zimeishiwa nguvu, kwani watu hawali vizuri, hali inayotishia heshima ya 'wababa'

- Baadhi ya wafanyabiashara wadogodo wadogo wanawake wanaonekana sehemu za starehe wakiwa wamejiremba wakijitahidi kuongeza kipato

Mi nadhani tuzidi kukazana kuibana serikali iboreshe mambo...
 
We lalamaika hali ya uchumi tu wengine wanaendelea kupeta kama haiwahusu vile, kwa kweli hali ni mbaya sana
 
kuna ukweli kwenye hayo uliosema.....ila sitashiriki kuibana serikali kwa ajili ya huo upuuzi!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom