ATCL yanyima wafanyakazi marupupu ya redanders

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Ndugu wananchi; nahisi sasa hii nchi inaelekea sipo;na kama raisi anashindwa kuwasimamia hawa anaowaajiri basi wananchi imefika saaa ya kuamka na kufanya yale tunayoyaitaji

Hivi karibuni tulisikia CEO wa ATCL akitangaza kutaka kurudisha watu nyumbani kwa likizo bila malipo; alipoambiwa hakuna sheria kama hiyo bado akangangania mpaka ilipofika vikao vya juu na kuambiwa hapo hakuna kitu. Sasa basi akaona solution ni redanders. Wengi walimwambia kwa hilo tuko nyuma yako. Habari zaidi zinasema kuna baadhi ya wazee walioamua kuretire na wengine kufanya early retirement na kupitisha retirement zao....sasa basi kituko kinakuja kwenye malipo ya wastaafu

kuna sheria za kampuni mtu akifanya miaka kadhaa anapata hiki na kile cha ajabu wamewastaafisha watu na wako nyumbani bila kuwalipa hata senti tano mpaka sasa ,baya zaidi kuna taarifa ati wanakuja na sera na mipango ya kurekebisha sheria za mtu kustaafu ili kuwaadhibu waliostaafu....sasa sheria zinasemaje jamani mtu akiacha kazi anaatumia sheria zilizopo sasa hawa watu wanataka kuwaadhibu watu kwa kosa la kuomba retirement

Nafikiri wana jf kuna wanasheria tutoe msaada kwa wazee hawa ambao inasemekana wameanza kuhangaika mahakamani wakati hata senti awajachukua. Alipoulizwa CEO wa ATCL alijibu hii inatumaliza kabisa.... Inaitaji kurekebishwa

Sasa basi hapo ndipo alipoulizwa mbona sheria zenyewe umesaini wewe na zilipita vikao halisi . anasema alikosea kusaini kabla ya BODI kupitisha wanasheriia tumbanie wapi huyu.....

Kingine zaidi wanadai ati MAFAO YA WAFANYAKAZI YAMEKATALIWA NA BODI... TOKA LINI BODI IKASHINDANA NA SHERIA.... WANA JF TUNAOMBA MSAADA WENU KAZI KWELI KWELI
 
mkuuRais hayo marupurupu ya watu ya,ekataliwa na bodi bodi ipi unayoiseemea wewe;;...pili mi siko kwenye kampuni hiyo labda kuwashauri wahusika mi huwa napenda kusaidia pale panapowezekana
 
WAPE POLE SANA.

PIA WASIPOTEZE HELA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI, MIGOGORO YA KAZI TANZANIA INATATULIWA NA SHERIA KUU 2.
1. EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT (2004)
2. LABOUR INSTITUTIONS ACT (2004)

NASHAURI UWAPE NAMBA HII 0784 375821 WATAPATA MSAADA KUPOTEZA FEDHA NYINGI.

MIGOGORO KAMA HII INA HATUA ZAKE ZA KUITATUA.

KWA DOKEZO TU INABIDI WAANZIE KAMISHENI YA USULUHISHI NA UTATUZI WA MIGOGORO, WAANZE NA MEDIATION IKISHINDIKANA WAINGIE KWENYE ARBITRATION AMBAPO MAAMUZI YAKE YANANGUVU KAMA MAAMUZI YA MAHAKAMA.

Pliz wasaidieni ndugu zetu hao na iwe onyo kwa waajiri wengineo wanaotaka kupindisha sheria kwa manufaa yao. THEY IN NEED TO ACT IN A GOOD FAITH.
 
Back
Top Bottom