ATCL mfano wa kuiga on Customer Loyalty

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
SYDNEY, NOV 6 - Qantas Airways is offering free flights to passengers who were affected by the airline's decision to ground its entire fleet over a labor dispute, in the first of a number of measures to regain customer loyalty.
 
Kitanzania hiyo ni ngumu sana! Precision wenyewe bado wana cancel safari bila hata ya kutoa taarifa na kuomba msamaha.
 
usiombe waige hiyo utashangaa watapewa pili ya kusfirisha abiria 5000 wakati kadege hakachukui zaidi ya watu 50! itakuwa upenyo wa ufisadi
 
Back
Top Bottom