ATCL kuanza direct flights to Mumbai

Wangeenda China walau kuna wafanyabiashara, India sijui,kuna biashara gani zaidi ya medical tourism
Kuna demand kubwa sana kutoka Tanzania & East Africa kwenda domestic India for business, leisure, studies na hiyo health tourism. India ni top 5th international tourist arrivals to Tanzania (wanapitia Bole na JOMO etc). Tanzania is second with the most Indian diaspora in East Africa. All this makes Dar-Mumbai route very lucrative.Rwandair walitaka kwenda Mumbai via Dar ila slot is reserved for ATCL. Hii ruti ni dili tangu 80's Ethiopian/ATCL (kwa makubaliano ya profit sharing) walitaka kwenda Dar-Mumbai kwa kutumia 767 ya kwao lakini ticket/flight ya ATCL lakini due to majungu ikashindikana. China (Guangzhou) is next.
 
Kwa nini Mumbai? Tuna abiria wengi zaidi ya wagonjwa (na wasindikizaji wao) wanaoenda huko kutibiwa? Na sasa idadi imepungua maana serikali yety imebana huko. Nilifikiri China ingefaa kwa wafanyabiashara wetu ambao wanaleta mizigo toka huko! Ingawa nayo imepungua maana Kariakoo kwa sasa siyo ivyokuwa miaka michache iliyopita.
 
Ndege zipo mbili, unataka zote zienda china. Nonsence. Pia ndege ikienda mumba haijazuiliwa kwenda na ruti ingine
Acha use'''nge wewe, umeharibu kwa kutumia neno "Nonsence" unawezaje kulazimisha kila mtu afikirie kama wewe, kama ingekuwa hivyo hakungekuwepo na maendeleo maana wote wangekuwa wajinga au werevu, hakuna ambaye angefanya jitihada.
 
Ningewashauri wakomae kwanza na route za ndani, then ndio waende nje.......maana ndani kwenyewe changamoto sasa huko duniani ndio wataweza kutunishiana misuri na wenye mbavu nene....

Pesa ipo hapa hapa nyumbani mngeweza kuwatoa kwenye reli kina fastjet, precision, auric, flight link na vindege vingine....mngeweza kupiga sana pesa...

Anyway ebu tuone
 
Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
Hivi mnataka mfanyiwe nini ndio mridhike , Mungu anawaona na vijiba vyenu vya roho
 
Ndio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee

Tunatakiwa kupiga makofi,haya mambo ya udadisi na kiherehere tunamwachia Makonda kishapewa kibali.
 
Ni swala zuri sana ila je abiria wapo kiasi gani? Isije kuwa kama KQ walienda wakaamua kupunguza safari maana ndege ilikua yarudi robo.

Afu ni ngumu MTU kuacha Emirates, Qatar na Etihad kupanda ATCL/KQ
MTU mwenye akili hawezi panda ndege ya shirika linalodaiwa
 
Mzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.

More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).

Alafu ni comming or coming?

Hili tangazo huenda ni feki!!
Hapana. Maneno yako haya; "More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).", ndio fake!
 
You better keep quiet if you know nothing my dear. We have a decease called UJUAJI. Same person is a Driver, Police Economist, Teacher and kilakitu. Siyo fair jamani. Acheni watu wafanye kazi zao. Kama wewe ni Mchumi acha mtu wa Mipango nae afanye yake. Mwalimu acha Mlinzi afanye yake. Mhasibu acha daktari afanye kazi yake. Huwezi kufahamu kila kitu ndugu. Mnajiaibisha. Hata wakipata hasara hawatakuwa wa kwanza maana Kenya Airways wanazipata na wanasonga mbele. Acheni ujuaji. Tunawachoka.
Hiyo kweli kabisa kaka, lakini watanzania tuna shida moja; Mbona mtu akishakuwa kwenye madaraka au akiwa mwanasiasa anakua anajua kila kitu? Maamuzi mangapi yanafanywa kisiasa bila kuhusisha wataalamu husika? Nadhani hawa watawala wetu wangefuata haya uliyosema "ingependeza zaidi"
 
Kuna demand kubwa sana kutoka Tanzania & East Africa kwenda domestic India for business, leisure, studies na hiyo health tourism. India ni top 5th international tourist arrivals to Tanzania (wanapitia Bole na JOMO etc). Tanzania is second with the most Indian diaspora in East Africa. All this makes Dar-Mumbai route very lucrative.Rwandair walitaka kwenda Mumbai via Dar ila slot is reserved for ATCL. Hii ruti ni dili tangu 80's Ethiopian/ATCL (kwa makubaliano ya profit sharing) walitaka kwenda Dar-Mumbai kwa kutumia 767 ya kwao lakini ticket/flight ya ATCL lakini due to majungu ikashindikana. China (Guangzhou) is next.
vizuri uweiweka ki utaalamu zaidi nimekukubali
 
Back
Top Bottom