Kwa kifupi, hawako masikini kama unavyofikiria, hiyo hasara unayosema inakuhusu weweHakuna utafiti wa kijinga hivyo, pia huwezi kufanya utafiti kwa kujalibu kuland dege la trilion 200, kuituisha kwa kujaribia. Walishatuma ma engineer kufanya study wakadecrale kuwa a380 inaweza kutua. Na ujue kuwalaza abiria siku2 five star hotel ni hasara ujue, ile ndege nishaipanda mara mbili inameza abiria 860. Jiulize kama ilikuwa full mzigo hao wote walale hoteli ya laki3 ni sh ngapi hapo. So before you comment fikiria kwanza