ATCL: Abiria wote kuvaa barakoa wakati wote wa safari katika kipindi hiki cha COVID-19

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,100
Abiria wote kuvaa barakoa wakati wote wa safari katika kipindi hiki cha COVID-19

ATCL.JPG
 
Mkuu wa nchi amekwishasema kuwa hizo mask zina corona. Sasa wao kwa nini walazimishe watu wavae. Watakuwa wanatania tu.
 
Back
Top Bottom