Asumani na uevi!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Braza Asumani alikuwa ameyatandika njwii!!
Lakini baada ya kupigana na walevi wenziwe,akakumbuka safari ya kurudi nyumbani akapita pembezoni kabisa mwa barabara, mguu mmoja barabarani mguu, mwingine nyasini.

Kwa mwendo huo na mtindi aliounyaka akawa na mwendo usio wa kawaida.
Mara akatokea Afwandi Mwita akamuuliza "aroo umerewa"

Asumani akajibu" af ..af.. afwandi una uhak...kika hilo ndo ta..ttatizo la..l..langu?"
Afande Mwita"nina uhakika umelewa kwa jinsi unavyotembea,twende kituoni , reo utarara serro"
Asumani" l..lo Mola Mkubwa ni. nikifikiri nsshakuwa kiwete"
 
Back
Top Bottom